Search results

  1. J

    Mwl. Nyerere Alikuwa na Sifa za Kipekee

  2. J

    Dhana Potofu Juu ya Rais -2015

    Nimemefuatilia mara nyingi mijadala mbalimbali pia vyombo vya habari juu ya rais atakayechaguliwa mwaka 2015, watu wengi wanaposema juu ya rais atakaye chaguliwa kuingia Ikulu 2015 wanazungumzia wa kutoka upande mmoja tu wa ccm. Sijajua sababu nini , ama kwa sababu hao ndio waliotangaza nia...
  3. J

    Vurugu Katika Chaguzi za Wenyeviti wa Mamlaka za Miji

    Kwa kutambua kuwa humu kuna watu wanaojua sharia hizi vizuri, naomba maelekezo mazuri , sharia namba 45 ya mamlaka za miji inaelezea juu ya wajumbe wa baraza kuwa ni wenyeviti waliochagulia, wenyeviti wa viti maalum, madiwani wanaoteuliwa na mbunge Swali ; wakati wa uchaguzi wa mweyeti wa...
  4. J

    Kenya na India Zaipiku Tanzania Kwa Mauzo ya Tanzanite

    Hii habari ni mbaya sana kwetu Watanzania, lakini pia ni fundisho kwetu tujisahihishe kujua ni wapi tunapokosea katika mikakati ya kukuza uchumi wetu. India imeweza kuuza Tanzanite yenye thamani ya Dola million 300 Kenya million 100 na Tanzania million 38. Inakuwaje madini ambayo yanapatikana...
  5. J

    Mh. Rais Kikwete Utueleze Watanzania Juu ya Mahusiano ya Marekani na Tanzania

    Naomba mtakao kerwa na hii post muwe wavumilivu Mimi kama mtanzania ninayo haki ya msingi ya kuhoji ili kupata habari juu ya nchi yangu, Rais wetu ukisikia kasafiri ni nadra sana kusikia ameenda nje ya bara la Amerika, na nchi ambayo amekuwa mara nyingi akiitembelea ni Marekani. Naamini kuwa...
  6. J

    Hali Halisi ni Kwamba Katiba Mpya Haitapatikana

    Wadau , Huo ndo ukweli ulio wazi kuwa kwa mchakato ulivyovurugwa namna hii, Katiba mpya haitapatikana, Swali ni tuwafanyeje hawa ccm 2015 Kama yupo anyeamini katiba mpya itapatikana mwaka huu au mwakani tutasubiri sana. Sitta ameamua kujipa majukumu ya tume ya kukusanya maoni, mambo yanakwenda...
  7. J

    Dhana ya Usomi Ilivyopotoshwa Tanzania

    Napenda nililete hili kwenu mnaoweza kuchangia na kutoa maelezo ya kutosheleza. Mimi binafsi napata taabu sana neno "Msomi au Wasomi" tunavyolitumia kwa hapa Tanzania, mara nyingi utasikia jumuiya ya wasomi wa chuo kikuu kwa maana ya wanafunzi wamepinga muundo wa serikali 3 au serikali 2 au 1...
  8. J

    CCM Inaporomoka Kwa Kasi Kubwa

    Ukiachilia mbali utafiti ambao tumekuwa tukiusikia toka kwa watafiti mbalimbali wa mambo ya siasa wakieleza kuongezeka kwa umaarufu wa vyama vichache vya siasa huku ccm ikiporomoka. Nimeendelea kuona kuporomoka huko sasa kumeshika kasi kubwa.Baadhi sababu za kuporomoka zaweza kuwa zifuatazo; 1...
  9. J

    CCM Ilizaliwa Ikakua na Sasa Inaelekea Kufa 2015

    Mimi huo ndio mtazamo wangu juu ya chama hiki , sioni mikakati na ubunifu wowote unaofanywa kukinusuru chama hiki, Viongozi wake walisha kosa mbinu mbadala za kuijenga CCM imara badala yake wamekuwa ni mabingwa wa kutukana matusi na siasa za kulazimisha kuaminika kwa wananchi badala ya...
  10. J

    Mh. Rais Ana Nia Njema-Katiba Mpya

    Tangu aliporidhia mchakato wa kuandikwa kwa Katiba Mpya ameonyesha kuwa na nia njema na Uzalendo katika suala hili. Ebu tujikumbushe baadhi ya maneno aliyowahi kuyatoa tangu mchakato huu uanze. 1. Aliwahi kuongea wakati wa kupokea rasimu ya kwanza ya katiba kuwa Tume imefanya kazi nzuri sana na...
  11. J

    Kwa nini Rasimu Haikupendekeza Serikali Mseto ?

    Mimi naona ni kama huko tuendako kuna uwezekano mkubwa kama serikali tatu kulingana na matakwa ya wananchi itapita kutakuwa na utata katika muundo wa serikali Rasimu Inapendekeza Muundo wa serikali tatu lakini haijapendekeza serikali ya mseto, naona kuna ugumu kwa chama kimoja kushinda nafasi...
  12. J

    Waimbaji wa Nyimbo za Injili Mrudieni Mungu

    Kichwa hicho hapo juu kinafaa sina namna ninavyoweza kueleza kwa kinachoendelea , watu wamejisahau wameshindwa kujua nguvu na siri kubwa ya Kimungu iliyoko kwenye uimbaji wa nyimbo za Injili. Wameamua kujichanganya na ulimwengu kabisa. Inasikitisha sana Najua sio wote waliharibika lakini...
  13. J

    CCM Vipofu: Muungano wa Mkataba Je waweza Kuimarisha Muungano

    CCM mbona mnapenda kuchezea akili za watanzania, kama Zanzibar zaidi ya asilimia 60 walitaka muungano wa mkataba, mnafikiri hapo tena kuna muungano ? Kuweni na shukurani kwa kazi iliyotukuka ya tume waliyoifanya kwa kuja na maoni ya wananchi waliopendekeza serikali 3 , masharti ya muungano wa...
  14. J

    Maamuzi ya Kamati 12 za Bunge la Katiba

    Nahitaji msaada kufahamu vizuri, baada ya majadiliano kwenye kamati zote 12 juu ya sura ya 1 na 6, kwa rasimu iliyokuja na mapendekezo ya mundo wa serikali 3. Je Theluthi mbili au zaidi zilipatikana kukubaliana na mapendekezo ya tume ya mabadiliko ya katiba ? Kwa anayejua vizuri atueleze ni...
  15. J

    Tanzania Mawazo ya Wachache Yanaheshimiwa ?

    Historia ya nchi hii iko wazi kuwa daima mawazo ya walio wachache katika kufanya mamuzi yanaheshimika; 1. Mwaka 1992 wengi walikataa mfumo wa vyama vingi nchini lakini kwa busara za mwasisi wa Taifa la Tanganyika Mwl. Julius Nyerere mawazo ya wachache yaliheshimiwa 2. Katika uchaguzi mkuu...
  16. J

    Kushindwa Kwa CHADEMA Kalenga ni funzo kwa watanzania

    Tangu yamejulikana matokeo ya Jimbo la Kalenga , watu wengi wameongea mambo mengi ya kubeza juu ya CHADEMA ambacho ndicho chama kikuu cha upinzani, mimi nasema hapana kubeza ni kupotoka na kutokujua siasa. Kwa tafsiri yangu ya kushinda uchaguzi naiangalia kwa namna tofauti kidogo , kuwa chama...
  17. J

    Chama Kipya cha Siasa Kusajiliwa

    Mh. Dr. Slaa katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo akiwa Iringa amesema wamebariki madiwani 2 walioomba kujiuzulu Shinyanga, hiyo ndiyo Demokrasia ya kweli, madiwani hao moja ya sababu kubwa ya kujiuzulu ni kwamba wanamuunga mkono Mh. Zitto , Mh. Dr. Slaa amesema kuna taarifa pia...
  18. J

    Yanayotokea Chaguzi Ndogo Sasa Ni Jeshi la Polisi Kutokuchukua Hatua Dhidi ya CCM

    Ni muda mrefu sasa vyama vya upinzani vimekuwa vikilalamika kwa jeshi la polisi na serikali kwa ujumla kuto chukua hatua juu ya vitendo vya kiharifu ambavyo vimekuwa vikifanywa na CCM katika chaguzi mbalimbali. Sote ni mashahidi Mh. Nasari Monduli alipigwa karibu kuuwawa hakuna hatua...
  19. J

    CCM Wanamjua Mgombea Urais Bado Kumthibitisha tu

    Ukiipima kauli ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya Mh. Godfrey Zambi aliyomuuliza Mh. Rais kuwa awaeleze kama muda wakampeni umeanza au laa ? Mh. Zambi alipokuwa akiuliza hilo fika najua anakubaliana na anachofanya Lowassa na anamkubali kuwa ndiye mgombea wanayemjua isipokuwa alikuwa anauliza tu...
  20. J

    Nani msafi Ndani ya CCM ? Yawezekana Hakuna

    Kufuatia yanayoendelea sasa ndani ya CCM, kwa mtu yeyote mwenye kujaliwa kuona mbali anaweza akahitimisha kuwa CCM sasa basi imekufa. Imekuwa ni vita ya Muda mrefu baina ya hawa watu wawili, Nape anamtuhumu Lowassa kuwa ni fisadi na sote tutakumbuka ile hoja aliyoianzisha ya kuvua gamba ndani...
Back
Top Bottom