Search results

  1. return of cs

    King'amuzi cha Startimes kinauzwa Mwanza, Igoma

    Kinatumia antenna Hakina shida yoyote Kipo Mwanza Igoma Bei: 35,000 [emoji3513]0627150963
  2. return of cs

    Kitanda mninga 5*6 kinauzwa

    Ni mbao Mninga 5*6 Kipo mwanza nyasaka Bei: 190,000 bila godoro [emoji3513]0627150963
  3. return of cs

    TV4Sale LG Smart TV inch 32 inauzwa

    LG SMART TV INCH 32 FULL BOX IPO MWANZA MALIMBE BEI: 340,000 Mawasiliano: 0627150963 [emoji3513]0627150963
  4. return of cs

    Samsung galaxy s6 edge plus 32gb for sale

    Ninauza simu tajwa hapo juu iliyotumika kwa miezi 3 na wiki 2 tu na ninakuuzia pamoja na fast charger yake Kwa bei ya tsh.950000 tu. Wasiliana nami kwa simu namba.0756169666 na whatsapp pia kwa picha Nipo mwanza..
  5. return of cs

    Samsung galaxy gear charger inahitajika

    Nipo mwanza,nahitaji charger ya Samsung galaxy gear kwa bei yoyote
  6. return of cs

    Samsung note 2 for sale bei ya jioni

    Nauza samsung note 2 model no SHV-E250K ipo katika hali nzuri kabisa Bei ni tsh300k fixed Nipo mwanza
  7. return of cs

    Samsung s2 for sale bei chee,

    Nauza samsung s2 kw bei ya tsh 160,000 maongezi yapo Napatikana mwanza Simu ipo katika hali nzuri
  8. return of cs

    Mkojo wa punda

    mokojo wa punda sehemu ya 1 ilikua ni asubuhi nikiwa bado nmelala kitandan kwa mbaali nashtushwa na kelele za watu huko nje wakibishana, nikaamka ili niwezejua nini kinaendelea mara nakutana na mama mlangoni akihema sana hku akiwa na haraka kuingia ndani akanishika mkono na kunirudisha chumbani...
  9. return of cs

    nenda na wakati jipatie saa zenye thamani na imara kwa bei nafuu

    hakuna kitu muhimu duniani kama "MUDA" ,ni wakati wa kwenda na muda JIPATIE SAA za thamani ya juu na za kisasa kanisa kwa bei nafuu KWANZA:hazipauki PILI: haziingiliwa maji, na zinakufanya uonekane mtu wa heshima mbele za watu. BEI: TSH 30,000 TU
  10. return of cs

    nenda na wakati jipatie saa zenye thamani na imara kwa bei nafuu

    hakuna kitu muhimu duniani kama "MUDA" ,ni wakati wa kwenda na muda JIPATIE SAA za thamani ya juu na za kisasa kanisa kwa bei nafuu KWANZA:hazipauki PILI: haziingiliwa maji, na zinakufanya uonekane mtu wa heshima mbele za watu. BEI: TSH 30,000 TU napatikana mwanza
  11. return of cs

    nauza MEMORY CARD original kabisa zenye warrant ya miezi12 kw bei nafuu kabisa

    jipatie memory card zenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu kabisa na upewe warrant ya miezi 12, 4gb-7,000 8gb-10,000 16gb-14,000 kwa wanaohitaji jumla na rejareja pia napatikana mwanza,mikoani utatumiwa
  12. return of cs

    Nahitaji simu Huawei ama Tecno

    Narudi kwenu wakuu, nahitaji simu aina tajwa hapo juu iwe katika hali nzuri na bajeti yangu ni tsh100,000.
  13. return of cs

    Nahitaji huawei y300

    Simu tajwa hapo juu inahitajika,na bajeti yangu ni 70,000 iwe katika hali nzuri.nipo mwanza
  14. return of cs

    Eee Mungu nipe maisha marefu nikione kizazi cha kesho kisivyokua na haya

    Wakuu, Hata salamu sitoi kwa huzuni nilokua nayo, Hivi kweli wazazi na watoto wadogo wa kike wamefkia hatua hii,! Iko hivi wakuu leo katka kutafta pahala walau nikapumzike nipunguze stress za maisha nikaamua kwenda sehemu moja mwanza inaitwa villa park,nikapark gari na kuingia ndani kupata...
  15. return of cs

    Fursa za kujiajiri kwa vijana walioko Mwanza

    Kichwa cha mada hii kinahusika,karibu ktk kikundi chetu cha vijana wenye nia ya kujiendeleza kiuchumi kwa pamoja kupitia miradi midogo midogo tutakayoianzisha kwa pamoja,kikao chetu cha kwanza kitafanyika tarh 20 mwez huu,yakupasa uwe unaishi mwanza na siyo wa kuhama hama mkoa ili kujiunga nasi...
  16. return of cs

    Pikipiki aina ya SANLG inauzwa

    Jipatie pikipiki aina ya SANLG ikiwa na muonekano mzuri kbs,imetumika miezi7 haidaiwi kwa bei ya tsh1.5 mil nipo mwanza.haijachomwa wala haina michubuko
  17. return of cs

    Jinsi ya kukuza uume wako kwa kutumia mti wa mdodoki ama sausage tree

    Kutokana na mabishano yaliyokua yakiendelea humu juu ya kipi kinafaa kati ya dushelele ama kibamia, na hatima kuwa wenye vibamia hawana chao.hili ni suluhisho la wenye vibamia na wao waweza kua na muhogo wa uhakika kabisa. Nilipokua shinyanga miaka ya 98 kulikua na miti aina ya madodoki kwa...
  18. return of cs

    Maumivu sehemu ya kisogo na kichwa kuuma

    Heshima yenu nawapa, naimani mko salama nmejitokeza kwenu nikiwa na tatizo ambalo mwanzo nliona ni kawaida tu ila sasa limenizidia, nimekuwa nikiumwa sehemu nzima ya kisogo pale ninapoegemea ukuta, kiti cha mbao hata sponji, hata naposafiri siwezi kuegemea kabisa kwa kuhofia maumivu hayo, pia...
  19. return of cs

    Alinidanganya amekufa kumbe yupo hai na kachumbiwa

    Salamu kwenu wana MMU, Naombeni ushauri katika jambo hili, Nilikua na mpenzi wangu tulipendaana sana na tulidumu kwa muda wa miez mi 5 tu. Kisa kilianza hivi, alisafiri kwenda msibani na alikaa huko kwa muda wa wiki mbili mpaka nilipoanza kumkazania kua awahi kurudi maana nimemkumbuka.Alikua...
  20. return of cs

    LG D855 inauzwa bei chee kutokana na shida

    Wakuu heshima yenu, kutokana matatzo ya kifedha nmeamua kuuza simu niipendayo LG G3/D855 kwa bei ya 380, 000 tu sawa na bure.nmeitumia kwa muda wa mwezi mmoja na nusu tu.bdo ni mpya kabisa.hdd16gb, cpu 2.5ghz quad core, 2gb ram, camera 13mp ..alie tayari ani pm
Back
Top Bottom