Search results

  1. E

    Elections 2010 Rostam Ashinda kwa Kishindo tena

    Maeneo mengi ambayo wameikumbatia ccm ndo masikini wa kutupa (situkani lakini ndo ukweli kwa kuwa mie pie natoka huko),igunga,singida, dom n.k,mtu akilishwa mkate na soda tu humuambii kitu kuhusu ccm,mtuvuna mlichopanda
  2. E

    Elections 2010 Slaa Atafanya nini baada ya kuapishwa JK?

    Kwanini unauliza kabla final results hazijatolewa?
  3. E

    Anguko kuu la Kikwete na CCM, dalili zimeanza

    Kila baada ya tufani kuna anga zuri la dhahabu, nguvu ya umma itashida hata kama sio leo
  4. E

    CONFIRMED: Halima Mdee wins Kawe Constituency

    Peoplessssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss...
  5. E

    Ephraim Kibonde Jahazi Show

    Very correct great thinkers, Kibonde hopeless kweli nafikiri njaa inamsumbua vibaya.Hamna lolote la maana analolijua huyu jamaa, kwanza kipindi chake kinasikilizwa na mashosti zaidi ya watu wa kazi.Nafikiri asipojirekebisha wana JF tutammaliza kwa hoja na comments zilizoenda vitivo
  6. E

    Elections 2010 Poor Media Houses and Journalists

    Your very correct bro hii imenisababisha nisiangalie hata hizo tv station,kwa kuwa report ziko biased kweli.Njaa tu inawasumbua hawa halafu wamesahau kuwa huwezi kuizuia mvua kunyesha!!!!!!!!!!
  7. E

    Elections 2010 Sheikh yahaya anazungumza nini juu ya matokeo yanayoendelea kutoka

    Hana maana huwa anawatabiria ccm tu maana ndo anawapa walinzi wasioonekana
  8. E

    Hi, am a new member!

    JF is the house of thoughts, since i am a revolutinalist i will follow the rules and express my mind openly
  9. E

    Elections 2010 Tundu Lissu naye mwendo mdundo...!

    Mungu yupo hata wakichakachua Mwanasheria Mkomavu lazima aibuke kidedea,aluta continua
  10. E

    Elections 2010 Hongereni wana Rombo kwa kummwaga Mramba

    People'sssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss Tutataendelea kuwakimbiza mpaka kieleweke
Back
Top Bottom