Search results

  1. B

    Samahani sana Ndugu Mtatiro

    Napongeza jitihada zako za kututahadharisha tusimchague mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya Chadema. Nakupongeza pia kwa kutambua siasa za mitandaoni na magazetini hazina tija kulinganisha na site/field. Lakini mathalani Jina la dada yetu wa Chadema lipo kwenye kikaratasi cha kura, sisi wananchi...
  2. B

    Ulishawahi Kumfikiria Prof. Sospeter Muhongo kama Waziri Mkuu?

    Habari Wanajamvi, Naomba nianze kwa kwa kukiri niko upande wa Mabadiliko, upande unaoamini katika Upatikanaji wa huduma bora za kijamii kwa gharama nafuu, Nachotaka Serikali inifanyie ni Kunipa maji safi na salama, matibabu, miundombinu, elimu bora nakadhalika sihitaji Zaidi. Takribani miaka...
  3. B

    CUF na NCCR kupasuka Vipande

    Sina hakika kama vyyama vya CUF na NCCR vilifanya SWOT analysis, katika project kubwa kama hii ya kuongoza Nchi nashangazwa na mipango ya hawa wanaojiita UKAWA. Nianze kwa kutoa pongezi zangu kwa Mh. Mbowe na viongozi wote wa UKAWA. Kwa kutambua na kubadirisha sera na hoja baada ya CCM...
Back
Top Bottom