Search results

  1. K

    Jamani kumbe wabunge wetu umombo...Mmmmm

    mpasuajipu acha fix, nani ambaye hayupo ulaya? winter bado jamani inaanza karibia na christmas na kuchanganyia january. watu tupo ulaya mwaka wa 20 huu sasa msidanganye wenzenu khaaaaaaaa usifikiri hamna watu ulaya wanaoingia jamii forum. tek kea na ulaya yako ya uongo na umbea
  2. K

    Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    Nimetokea kumpenda tu kama rafiki , msiogope mimi ni msichana mdogo tu ila nimeona mambo yanayowekwa humu yameenda shule. tafadhali mwenye profile ya huyu mtu naomba ili niwasiliane nichat naye tu kama rafiki na si vinginevyo. Mungu awabariki nyie wote. nawapenda lakini mwenye hii blog nampenda...
  3. K

    Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    nitafurahi mno kumjua naomba hata na picha yake mnipe yani muiweke hapa nimetokea kupenda ila nina uhakika ni mwanamke mwenzangu kama ndio basi pongezi zake sana nakupenda mno, msalimie baba na watoto huko nyumbani. mdau Ealing Broadway, UK
  4. K

    Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    Jamani wanajf wenzangu msinishambulie kabisa, mimi ni mwanakijiji mwenzenu nipo uingereza lakini nimemaliza masters ndio naosha macho kidogo kabla sijarudi kujiunga nanyi lakini nina mambo mawili nataka niwaambie. Nimewavutiwa mno na jamiiforum lakini mwenye hii blog ni nani ila mimi siwajui...
  5. K

    Who is Salim Ahmed Salim?

    Nimetokea kumpenda tu kama rafiki , msiogope mimi ni msichana mdogo tu ila nimeona mambo yanayowekwa humu yameenda shule. tafadhali mwenye profile ya huyu mtu naomba ili niwasiliane nichat naye tu kama rafiki na si vinginevyo. Mungu awabariki nyie wote. nawapenda lakini mwenye hii blog nampenda...
  6. K

    Who is Salim Ahmed Salim?

    nitafurahi mno kumjua naomba hata na picha yake mnipe yani muiweke hapa nimetokea kupenda ila nina uhakika ni mwanamke mwenzangu kama ndio basi pongezi zake sana nakupenda mno, msalimie baba na watoto huko nyumbani. mdau Ealing Broadway, London UK
  7. K

    Who is Salim Ahmed Salim?

    Jamani wanajf wenzangu msinishambulie kabisa, mimi ni mwanakijiji mwenzenu nipo uingereza lakini nimemaliza masters ndio naosha macho kidogo kabla sijarudi kujiunga nanyi lakini nina mambo mawili nataka niwaambie. Nimewavutiwa mno na jamiiforum lakini mwenye hii blog ni nani ila mimi siwajui...
  8. K

    Joto la uchaguzi Arumeru Magharibi

    we unayesema hakuna ushahidi, unamjua madeye vizuri? na ushahidi upi unaotaka hapa. humu JF hakuna majungu ni ukweli tu. na hao akina lowassa mpaka kesho wanatuhumiwa wizi lakini wanataka ushahidi. unajua huyu mtu alichowafanyia watu huko alikotoka kabla ya kuwa mbunge? kaa kimya kama huna...
  9. K

    Joto la uchaguzi Arumeru Magharibi

    In short, madeye hafai hivi mmeona hiyo rushwa aliyoitoa huko arusha? Yani elfu ilikuwa kama sh.100, we acha maslaha kabisa. Angalizo: Hela kapata wapi? Tume lazima iundwe kuchunguza hizi pesa
  10. K

    Joto la uchaguzi Arumeru Magharibi

    Madeye yupi wanajamvini wenzangu? yule wa tcra? nchi imekwisha kama ndio yule yani ni rostam wa pili. tobaaaaaaaaaa
  11. K

    Joto la uchaguzi Arumeru Magharibi

    Duh hii jamiiforum ni kiboko... yani mdau unachosema hapo juu ni kweli kabisa, huyo uncle wa TCRA nampata fika ana nyumba Masaki na muda mwingine huwa anaishi Masaki ila familia yake ipo Mbezi Beach kwahiyo anaendaga Mbezi Beach pia kupumzika na familia yake. Yani nampata kinoma. Mke wake...
  12. K

    Joto la uchaguzi Arumeru Magharibi

    Yani ana nyodo ya fedha acha maslaha, lakini huko alikokwenda ndio atajua kama nyanya ni mboga au kachumbari..... Ni katili sana nimepata nyepesi nyepesi zake. Ni katili noma . Yani ofisi aliigeuza kuwa nyumbani kwake mshenzi sana, watu wanasheherekea kuondoka kwake.... Mwizi, fisadi lingine...
  13. K

    Joto la uchaguzi Arumeru Magharibi

    Yani mara mia afadhali ya lowassa kuliko huyu. Kuna uncle mmoja pale tcra kila mtu anamjua ni moto wa kuotea mbali lakini alimpokonya nafasi yake ya kazi baada ya huyu uncle kwenda kuongeza ujuzi huko majuu , akampa kilaza mmoja mpare ambaye kashindwa kazi ttcl. Ni mshenzi sanaaaaaaaaaaa huyu...
  14. K

    Joto la uchaguzi Arumeru Magharibi

    Madeye hafai kaulizeni wafanyakazi wenzake pale tume. Ana wafuasi wake pale tume ya mawasiliano . Ni mfitina na anapika majungu ile mbaya. Muogopeni sana ana chuki mno mno
  15. K

    Joto la uchaguzi Arumeru Magharibi

    Huyu madeye alikuwepo tcra, ni fisadi jingine , kala sana pale sasa anagawa hela arusha ambazo kachota tcra, siku zake zinahesabika. Ni mshenzi sana sana mimi ni mmaasai na ninamjua fika huyu bwana. Huko bungeni patakuwa padogo yani ni copy and paste ya lowassa
Back
Top Bottom