Unapokuwa airtime we use to receice a notification msg lakini sasa hivi hawatumi matokeo yake unajikuta umetumia hela yote unknowingly badala wangekufahamisha uka subscribe bundle wenyewe hawatumi msg ili wakucharge kwa rate kubwa wakati source ni wao kutokutuma msg na ukipiga kuuliza ni majibu...
Vodacom ni mtandao ninaotumia siku zote ni sijawahi toka huko ila kwa walichonifanyia sitatuma hela, sitatumia tena internet yao, sitatuma tena voda kufunga ama kupay bills zangu hawa jamaa wamegeuka wakatili vibaya badala ya kuenjoy service imekuwa ni kero hata nilipopiga simu customer care eti...
Sasa kumbe wamekata pembeni walidhani atajichagua ndio wamuone hero huo ni upumbavu kudhani kuwa bila kupiga kura El Angeshinda kama hawakupiga kura kwa Mbunge na diwani basi wasilie imekula kwako kwa kupenda mteremko
Mwenyekiti wa tume na viongozi wengine wa tume wanateuliwa ama kuajiriwa na risiti ambaye ni mwenyekiti wa chama kinachoshindania pia madaraka na hiyo tume ikishatangaza hakuna sehem ya kulalamika kwa maana ya kutafuta haki sasa huo unaita uchaguzi huru??? Ni kichekesho na uigizaji hakuna...
Nimesha chagua maji barabara elimu bora na bure pamoja na afya njema bila kusahau uhakika wa umeme hapa kigurunyembe zahanati na nimewaona international observers kutoka Ireland wakikagua mchakato kifupi ni kwamba nimeshachinja maana hamna namna tena ni kuwachinja
Asanteni
Unahangaika kama kuku anaetaka kutaga tulia utage unafikiri kila mtu ni mbmbmb mbona hukuuliza fedha za escrow zilizosemekana kutoka stanbic kwamba zilienda wapi?mbona hukuwauliza serikali?sasa hv ndo una deemand!unajivika kitambaa usoni na kwenye ubongo unajifanya huelewi ati!
Aisee nakupa BIG LIKE kama ambavyo na mi nimefanya kwa Hamfrey Polepole huu ndo mwendo ukimwona kwenye TV change channel ama zima au bora uangalie taarabu TBC kuliko hawa jamaa
Acha upuuzi jaribu kufikiri kwa kutumia kichwa na akili alizokupa Mungu na siyo kufikiri kwa kutumia masaburi siku ccm wanazindua kampeni mgombea wenu alihutubia dk ngapi?kama angefata kanuni na taratibu asingeweza ndo maana mkaamua kuvunja sheria na kuendelea mpaka saa moja kasoro sasa ulitaka...
Posti zingine ni kama mtu amelewa mtu hujafanya analysis hata analysis zilizofanywa huzijui una kurupuka kama unakunywa viloba na kupost ushuzi hapa na kutupotezea muda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.