Search results

  1. mlimilwa

    Mnyika, kuunguruma Channel 10, 3/3/2024 usiku atathibitisha maridhiano yamesaidia, CHADEMA inayatambua matokeo ya uchaguzi, na kumtambua Mbunge 1 Tuu!

    Siasa zetu za kibongo hizi ni shida sana. Yaani watu wanaona bado miezi tu uje uchaguzi mkuu wanaamsha habar za wabunge hewa. wakiri msomi kibatara sijui kapotelea wapi naona kimya sana. Tangu mwenyekiti alambe asari sijamsikia tena..!!
  2. mlimilwa

    Mnyika, kuunguruma Channel 10, 3/3/2024 usiku atathibitisha maridhiano yamesaidia, CHADEMA inayatambua matokeo ya uchaguzi, na kumtambua Mbunge 1 Tuu!

    Siasa zetu za kibongo hizi ni shida sana. Yaani watu wanaona bado miezi tu uje uchaguzi mkuu wanaamsha habar za wabunge hewa. wakiri msomi kibatara sijui kapotelea wapi naona kimya sana. Tangu mwenyekiti alambe asari sijamsikia tena..!!
  3. mlimilwa

    Dkt. Tulia Ackson anavyopost mitandaoni vinakinzana na madaraka aliyonayo Duniani

    Mkuu mwashambwa, hivi ccm hawana cheo cha mwandishi wao? Ningekua ninamaamuzi kwenye ccm ningekuteua uwe mwandishi wa ccm taifa. Maana naona unafaa sana kua mwandisi wa chama. Ni mwandishi mzuri sana hasa kwenye maneno yanayohusiana na wanachama .
  4. mlimilwa

    Wiki mbili zilizopota Marekani iliwaonya raia wake waliopo Urusi kuepuka sehemu zenye misongamano ya watu!

    Wamarekani ndio wanaotuma magaidi..halafu wanajifanya wana vyanzo vya habari na upelelezi makini na wametoa tahadhari mapema.
  5. mlimilwa

    Ipi sahihi; kufanya kazi kwa bidii au kufanya kazi kwa welevu?

    Bidii ndio inabeba kilakitu. Bidii, welevu bila ya malengo vyote hivyo vimekufa. Malengo ndio yananafanya bidii yako ionekane. Malengo ndio yanafanya welevu wako uonekane. Shuguli zote za binadamu hasa bishara ina mambo matatu. Kupata wateja, kupata faita na kukua Kama unapata wateja hupati...
  6. mlimilwa

    Tetesi: Mwinyi kugombea Urais wa JMT mwaka 2025 makamu wake kuwa Dkt. Titus Mlengeya Kamani

    Nakumbuka kuna kambi moja ya jeshi chupuchupu kuhamishwa kupisha uwekezaji enzi za waziri.wa ulinzi Alipoingia mabeyo na jiwe mpango ule ukazimwa.akawa amechelewa. Huyo mwamba anaubepari fulani.hata huko alipo wamuangalie lasivyo ataondoka na nusu ya kisiwa kimojawapo.
  7. mlimilwa

    Zitto Kabwe: Rais Samia alipaswa kutangaza kifo cha Hayati Magufuli akiwa ameshaapishwa, kitendo Cha Wakuu wa Ulinzi kuwa Watoa Taarifa ni hatari!

    Hapa ndipo panatakiwa kufuma mfumo mpya wa kiutawala. Cheo cha makamu kisiwepo au kama kitakuwepo kisipewe nguvu ya kukaimu siku raisi akifa. Badala yake waziri mkuu awe wa kuchaguliwa na wananchi. Rais apunguziwe madalaka ili Rais akifa waziri atasimamia nchi kwa muda ili kupata raisi mpya.
  8. mlimilwa

    Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

    Hahahahahahahahahahahahahahahahahaha..... Hahahahahahahahahaha............ We jamaa mjinga sana. Aiseh..!!
  9. mlimilwa

    Wahitimu wa vyuo vikuu wengi wana depression. Vijana ambao hawajavuka hata form 4 wanazidi kujipata tu, sababu hawana aibu na hawajipi class ya juu

    Mleta mada amelenga hamii ya watu wapambanaji wasiotegemea kushwikwa mkono. Wewe unafikili kama hujamuandaa mtoto wako kiupambanaji atathubutu kwenda kua konda?
  10. mlimilwa

    Wahitimu wa vyuo vikuu wengi wana depression. Vijana ambao hawajavuka hata form 4 wanazidi kujipata tu, sababu hawana aibu na hawajipi class ya juu

    Mwanafunzi anaesoma shule za kayumba hata akikosa muendelezo wa elimu ya juu au hata akipata elimu ya juu akirudi mtaani hawezi kufeli. Mwanafunzi anaesoma shule za kulipia kuanzia chekechea asipopata elimu ya juu na hata akipata elimu ya juu, akirudi mtaani bila ya baba kuendelea kumuwezesha...
  11. mlimilwa

    Nashauri Mawaziri kuchuja maneno na kauli kabla ya kuzungumza mbele ya Umma ili kutoleta taharuki

    Mimi nilivyomuelewa waziri, watanzania wasivae hiyo jezi kwa siku ya mchezo huo kama mashabiki wa upande huo. Badala yake watanzania wapenda michezo wawe wazalendo na timu zao.
  12. mlimilwa

    Demokrasia ni utawala wa walio wengi. Sensa inaonyesha Tanzania wengi vijana inakuwaje viongozi wa vyama vya siasa na serikalini na bunge vizee ngwe?

    Wazee wananafasi kubwa kwenye vyama.kamavile kushauli nk. Tatizo wazee wa vyama vyetu hivi walio wengi waganga wa kienyeji tu.wakiona kijana ana akili sana wanamloga wanahakikisha wanaweka watoto wao na wajukuuzao tu. Kwenye nafasi na tasisi muhimu.
  13. mlimilwa

    Dereva wa Basi la Mwendokasi adaiwa kuwapitiliza Vituo Abiria baada ya kukasirishwa

    😃😃😃😃😃😃😃🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣🤣😃😃
  14. mlimilwa

    Kwa majeruhi haya ya Wachezaji tegemezi, Mamelodi Sundowns anakuja kufanya Mauaji ya Kishalubela Dar kwa Mkapa

    Nasema hivi..yanga jana wamewasaidia azam kusonga mbele..sasa nyie shangilieni ila mbele yenu ni kugumu kuliko hao wenzenu yanga na azam. Mkijichanganya mnamaliza wa3 kwenye ligi.
  15. mlimilwa

    Azam jana walitukamia, huo si uchezaji wao wanapokutana nasi

    Ila, mashabiki wa simba kweli ni mbumbumbu....hata hesabu mnashindwa kupiga? Wakati mnashangilia yanga kufungwa, rudini mezani kuangalia mechi zenu zilizobaki na za wenzenu yanga na azam. Kama hamjua yanga wanawaumiza nyie simba. Maana mmebakiwa na mechi zote ngumu. Simba mkijichanganya...
  16. mlimilwa

    Serikali kujenga uwanja wa mpira Arusha wa kuchukua watu 30,000 ni kukosa maono

    Watu ambao hawana kazi waopenda kuhangaika na mipira, ni watu wapwani. Hivyo wajenge uwanja chalinze, bagamoyo, morogoro. Na dodoma kwanza. Wakiongeza viwanja vya kuingia watu angalau 50, 000 kila kimoja.jumla vifikie viwanja 5. Tanzania pana na miundombinu ya usafiri bado sana. Kama serikali...
  17. mlimilwa

    Serikali kujenga uwanja wa mpira Arusha wa kuchukua watu 30,000 ni kukosa maono

    Watu ambao hawana kazi waopenda kuhangaika na mipira, ni watu wapwani. Hivyo wajenge uwanja chalinze, bagamoyo, morogoro. Na dodoma kwanza. Wakiongeza viwanja vya kuingia watu angalau 50, 000 kila kimoja.jumla vifikie viwanja 5. Tanzania pana na miundombinu ya usafiri bado sana. Kama serikali...
  18. mlimilwa

    Biashara ya Night Club Dar imekufa?

    Hahahahahahahahahahahaha............ Duh!! Alfajri mkuu unatafuta chimbo la kula bata..!
  19. mlimilwa

    WB: 2050 Tanzania Itafikisha Watu Milioni 140. Yatoa wito kudhibiti kasi ya Ongezeko la watu na uzazi

    Miaka 100 ijayo. Binadamu wataishi maisha gani sijui na watafananaje. Maana nawaza hapa.nina watoto wa nane, nikifa nikiwaachia haka kashamba kangu ka heka 2. Maana yake watagawana roborobo. Na hao wakiwa na robo zao nao wakijichanganya wakizaa watoto wa nne Tu kila mmoja akifa watoto wao...
Back
Top Bottom