Search results

  1. M

    Elections 2010 Hizo habari mmezihakiki kweli?

    Mimi ni mmoja wa wale ambao tumechoshwa na ufisadi, hivyo napata faraja kubwa sana ninapoona haya matokeo yanayotolewa hapa kuwa mafisadi wanaelekea kupigwa chini. Lakini sasa napatwa na wasiwasi kama hizi habari ni sahihi au ni ushabiki tu wa kisiasa? Kwani naona kama matokeo yanataka kuja...
Back
Top Bottom