Search results

  1. Wakulenga

    Wanaume wenye watoto tupeni uzoefu wenu. Mara ya kwanza unampelekea Mwanamke wako hospitali kujifungua, hiyo siku ilikuwaje?

    Si nimekuambia nakimbilia hospital Mkuu sio miez mitano, yaaan tangia Ile tu ameambiwa ni mjamzto mpaka Leo hii
  2. Wakulenga

    Kwa wanaume wanaotarajia kupata watoto

    Mim ni careless saana hata mke analijua Hilo kwahiyo Yuko tu anajifariji na mwanae tumbon. Utasikia mwanangu si unamsikia baba Ako yaani ukija ujiandae kabisa wala hajali chchte. Ila kuanzia Leo nitajifunza kitu, walau kwakipindi hiki kilichobaki
  3. Wakulenga

    Wanaume wenye watoto tupeni uzoefu wenu. Mara ya kwanza unampelekea Mwanamke wako hospitali kujifungua, hiyo siku ilikuwaje?

    Dah kumbe!! Yaani mi wakwangu wiki kabla ya siku ya matazamio namwambia tuhamie hospital hizi kurupushani nahisi sitaziweza.
  4. Wakulenga

    Kwa wanaume wanaotarajia kupata watoto

    A kwann usubirie mpendwa mda ndio huu, kama shida ni mume tafadhali weka wazi
  5. Wakulenga

    Kwa wanaume wanaotarajia kupata watoto

    Sawa endelea kupinga mi sikulazimishi, ila we komaa uteseke
  6. Wakulenga

    Kwa wanaume wanaotarajia kupata watoto

    Unafanya yote mwisho wa siku unaambiwa mtoto sio wako. Binafsi huaga naona tu kawaida ukimwendekeza nae anazidii kipindi kizuri Cha kumjali saana mwanamke ni pale mara tuu baada ya kuzaa miezi 6 ya mwanzo kipindi Cha ujauzito si kizuri saana kuonyesha hayo yote unayoyasema maana yeye huaga...
  7. Wakulenga

    Watoto wanafunzi wa madrassa wamuua Imam aliyekua anawalawiti

    Kwahiyo Kwahiyo kiongozi tuna comment kwa kiswahili au kiingereza? Anyway, watoa mada zote zinazofanana na zako binafsi nawaona kama hawana akili, hawajiongezi na uwezo wao wakutafakari na kujua mambo ni mdogo saana. Na hii haijarishi umeleta mada kama hizi zihusuzo uislam, ukristo au dini...
  8. Wakulenga

    Nilifuma SMS za mapenzi kwenye simu ya mke siku yetu ya ndoa, bado nikamuoa lakini sasa nahisi kuchanganyikiwa sielewi nifanyeje?

    Eti wenu katika mtihani mzito, Kwanza nikupe pole saana kaka, ila binafsi nakuomba uchukulie kawaida saana. Binafsi Huwa nasema binadamu ni kiumbe Cha ajabu saana achana na huyo aliyefanya hayo ni mwanamke ila kiujumla binadam ni kiumbe Cha ajabu kabisa. Unajua kwann nakuambia hivi, yaan...
  9. Wakulenga

    Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

    Kama mzazi mtarajiwa naomba usizumngumze hivi, haya maneno yawe tu yamekutoka pasina kukusudia. Hakuna anayependa hii hali ila tukubaliana nayo kwakuwa yametokea na hamna namna.
  10. Wakulenga

    Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

    Mzee wangu, Mwanao anafanan na mim kabisa, Nina miaka 32 ndo nimekuja kujigundua kuwa Nina hali hiyo kwangu nimeterm kama ni ugonjwa. Nilienda hospital kwenye kitengo Cha ugonjwa akili natumia dawa saivi. Kuna unafuu nauona, nimebahatika kuoa humo ndan mkewangu anasema mm ni zuzu ila najaribu...
  11. Wakulenga

    Ni kweli kwamba mtu anayetumia vyema ARV kipimo cha kujipima cha damu huwa hakioneshi ni muathirika?

    Haiwezi kuwa hivo kiongozi, Kile kipimo kina detect uwepo wa virus kwenye damu. Kwahyo hata kam anatumia vizur dawa na Bado virusi vipo lazima vionyeshe. Ninachojua kwa watumiaji wazuri wa dawa Huwa kuwaambukiza wengine ni ngum endapo tendo litafanywa kwa tahadhari.
  12. Wakulenga

    Rafiki "mwenda zake"

    Habari members Nimetumia neno mwenda zake kumaanisha amefariki. Akili Leo imenikumbusha juu ya huyu rafiki yangu ambae ametangulia mbele ya haki akiwa mdogo saana miaka 32, ni huzuni sana lakina haikuwa na namna. Kilichonifanya nimkumbuke na kuandika hapa huyu jamaa kwangu ilikuwa kama ni...
  13. Wakulenga

    Namna nilivompata mke wangu wa ndoa

    Kiongozi, Huaga napiga tu vibarua vya kuungaunga, ila nashukuru maisha yanaenda. Nimeotea ila Kuna wakati chamoto nakiona, Hawa wanawake hawatofautian saana
  14. Wakulenga

    Tumeshaonywa Tena na Tena: Mpenzi au Mchumba Hasomeshwi!

    Tafadhali achana na hii kauli ya inategemea kwenye jambo hili, kama imewahi kutokea basi nikwako. Naungana na mtoa mada tafadhali mwanaume kama una akili timamu acha kabisa hili suala haliingii akilini na linasababish madhara makubwa. Somesha watoto wako, au nenda kasomeshe yatima huko mungu...
  15. Wakulenga

    Kutana na Mbunge wa CCM asiyejua CT SCAN

    Kwani yeye sio binadam, ana utofauti Gani namim au wewe?
  16. Wakulenga

    Kutana na Mbunge wa CCM asiyejua CT SCAN

    Am Kiongozi kama umeshawahi kufanya presentation huwezi kushangaa kitu kama hiki, Kuna wakati neno linapotea kabisa kichwani haijalishi unalijua au una uzoefu nalo kiasi Gani. Kwangu mim naona ni Jambo la kawaida tu
  17. Wakulenga

    Namna nilivompata mke wangu wa ndoa

    Kiongozi hili halina shida kwangu si amenipenda? Maana ake Kuna kitu anakitaka kwangu ndo maana amekubali. Ila in fact huyu dada aliingia mkenge mazee maana alinilazimisha nimuoe mi baada tu yakumaliza chuo si alijua tu nitapata ajira!! Ila mpaka Leo aiseee ndo ameishia kuduaa tu. Ila kiongozi...
  18. Wakulenga

    Namna nilivompata mke wangu wa ndoa

    Mkuu nilishawahi kukutana na mwanamke ambae ni bikra, nilikutana nae mara Moja tu na wala sikutaka kukutana nae Tena, na huyu ningemkuta bikra ndoa isingekuwepo kwahyo huenda kutokamkta bikra kumepelekea yy kupata ndoa namim
  19. Wakulenga

    Kutana na Mbunge wa CCM asiyejua CT SCAN

    Kwani Kuna shida Gani kama hajui?? Huenda Kuna upande mwingine Yuko vizur Zaid Wala hakuna ulazima wa mim, wewe au yeye kujua Kila kitu isipokuwa inabidi ujikite kwenye jambo ambalo unaweza ukawa mzuri zaid
Back
Top Bottom