Search results

  1. mujungu

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza Wabunge wote waelezwe kinachoendelea Ngorongoro

    Sheria ya Ngorongoro imepitwa na wakati lakini Katiba iko kwenye wakati
  2. mujungu

    Waziri Waitara akagua tiketi za mabasi ya mkoani Magufuli Bus Terminal na kwenda hadi Nyegezi Mwanza, aamuru waliolanguliwa warejeshewe fedha zao!

    Mbona Mafuta ya kula yamepanda bei maradufu hajaenda mtu dukani kuwarudishia wateja hela zao
  3. mujungu

    Barua ya wazi kwa Zitto Kabwe: Jitoe kwenye Kamati ya Msajili wa Vyama vya Siasa, hana nia njema

    Pointi kubwa ni kujadili utekelezaji wa sheria!!! Kwamba imeandikwa Usiibe , sijui tunajadili jinsi ya kuiba??
  4. mujungu

    Kauli ya Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma ni vema ikajadiliwa' ni kuhusu Mitandao ya Kijamii

    JPM aliwaambia anajua hoteli wanazofikia na pesa wanazolipwa na walikaa kimya. Leo watu kulalamika mambo yanavyoendeshwa imekuwa nongwa.
  5. mujungu

    Rais Samia Suluhu kama utatawala kwa kutokuzingatia haki, HAKI halisi itahitimisha safari yako utawala

    Kwetu sisi wakongwe hizi drama hazikuanza leo, namkumbuka Mahita na visu vyenye benders za cuf akiongelea ugaidi, kwao wanaona Raha.
  6. mujungu

    Askofu Gwajima: Tanzania inashindwa kuendelea mbele kutokana na kutokuwa na muendelezo wa utawala mmoja kwenda mwingine

    Majibu yote yako kwenye rasimu ya katiba ya Warioba, wasipindishe maneno waongelee katiba mpya.
  7. mujungu

    Rais Magufuli: TRA Sijawatuma mkusanye kodi ya dhuluma

    Du kazi hipo, Mpango alisema bungeni mambo si shwari.
  8. mujungu

    Wabunge washangaa sheria ya mafao, wasema kipengele cha mstaafu kulipwa 25% na 75% kwa miaka 12 kilifichwa

    Kuna sisi wa dei waka aka mkataba, sijui inasemaje???
  9. mujungu

    Kama wewe ni mfanyakazi na bado una imani na CCM, basi utakuwa unatatizo

    Kale kawimbo 'acha waisome namba Eeeee '
  10. mujungu

    Sakata la Mafao: Spika wa Bunge kaudanganya umma? Hongera marehemu Bilago kwa kuacha alama

    Kuna watu wanasema mimi hainihusu, una Baba, Mama mjimba Shangazi kaka dada wote wako kwenye hili gereza, mbaya zaidi wanaotafuta kazi na walioko mashuleni linawasubili kwa hamu hata waliosema ndiyooooo. Ndugu zao wamo. Walichofanikiwa ni kuua nguvu ya vyama vya wafanyakazi .wanaenda kwenye...
  11. mujungu

    Rais Magufuli: Wafanyabiashara msiponunua Korosho kwa bei reasonable, Serikali tutanunua kwa siku mbili tu. Uwezo tunao!

    Kuna shida kama taifa. Wakulima hupewa ruzuku kufidia gharama za uzalishaji na sio serekali kununua . Soko la Dunia likoje ?? Ni Ngumu kushindana na soko .
  12. mujungu

    Sheria Mpya: Kama hujafikisha miaka 45, hakuna kuendesha basi au lori

    Tunaomba takwimu , maana uwa tunapewa takwimu za makusanyo ya mabilioni na sio makosa gani yameongoza na kwanini na nini kifanyike. Hili ndio tatizo letu.
  13. mujungu

    Elia F Michael: CCM niacheni niendelee na udiwani wangu

    Wamesahau Kuna vizazi vijavyo vinahitaji urithi bora sio wa biashara ya utumwa.
  14. mujungu

    Korogwe: Mkurugenzi afunga ofisi na kuja jina la mgombea wa CCM. Mgombea wa CHADEMA nusura aporwe fomu

    CHADEMA muda wa kulialia umeisha , amueni kupambana au kuacha
  15. mujungu

    Neema Dar: Bia zashuka bei, ndogo ni TZS 1,000 na kubwa ni TZS 1,500

    Pombe sio chai. Zimekutuma bei inashuka.
  16. mujungu

    Askari wa barabarani tendeni haki msilazimishe makosa kwa Wananchi

    Uko sahihi kabisa mleta mada, serikali yenyewe haiko "perfect" kama wanavyotaka madereva tuwe , kwa kweli nawachukia sana japo kuna ndugu zangu wanafanya hiyo kazi. kwa kuwa hatuna muda wa kwenda mahakamani ndio kinawapa kiburi , naona imefika wakati wa kwenda mahakamani kusimamia haki , inakera...
Back
Top Bottom