Search results

  1. amilyroley

    Mchumba wangu ana madeni balaa

    Nina girlfriend nipo naye kwa miaka Tisa sasa. Nimeanza naye mahusiano akiwa na miaka 19. Ilikuwa mwaka 2006 mwezi wa tano Waziri Mkuu wa nchi hii akiwa Lowassa. Nampenda na ananipenda. Namuhudumia vzuri tu. Na tayari nimemchumbia. Zamani hakuwa na tabia za kukopa vitu na kubaki na madeni. Ila...
  2. amilyroley

    Rais Magufuli na PM Majaliwa Wameamua kuwa Wapinzani wa CCM na Kikwete

    Kinachofanyika sasa sio hakuna mwanaCCM wa Lumumba aliyezoea kula kiyoyozi na kula kwa ubua atakipenda. Sio Sera kabisa za CCM iliyozoeleka, ni Sera za upinzani zilizokuwa zikipingwa na wanaCCM na Kikwete. Lumumba sasa wananongona wanajuta na wengine wanasema walikosea. Anachokifanya magufuli ni...
  3. amilyroley

    Ushauri: Inasemekana mpenzi wangu alishawahi kuwa na mahusiano na ndugu zangu!

    Na-Paste Text yake... Naombeni msaada wa ushauri ndugu zangu. Mimi ni msichana na Nina mpenzi wangu tumedumu kwa miaka mitatu sasa. Nilifahamiana naye nikiwa form six na kuanzia wakati huo tukawa wapenzi. Ananipenda sana kuanzia mwanzo had sasa, sijawahi kumkuta hata na text ya binti yeyote...
  4. amilyroley

    TANZANIA MPYA: Rais katoka CCM, Sera Zimetoka UKAWA

    Ni ukweli usiopingika. Tunamuombea kwa Mungu raisi aendelee na uchapakazi huu. Rais ametoka CCM lakini Sera za usawa, haki, umoja, kurudisha keki ya taifa kwa wananchi na kuwakamata watumishi walimbikiza Mali ni sera za Ukawa tangu bunge la katiba mpaka kwenye kampeni. Ni mixing nzuri na...
  5. amilyroley

    Magufuli lini Utafanya Ziara Ghafla Wizara ya Ujenzi

    Dr Magufuli umetupa matumani kwa kasi yako. Lakini ni lini utavamia wizara ya ujenzi bila taarifa? Au wizara hiyo haitavamiwa?
  6. amilyroley

    Polisi wavamia Tallying Center ya UKAWA na kuizima

    Polisi wamevamia kituo cha UKAWA cha kupokea na kujumlisha kura zote nchini na kuzima mitambo. Huku CCM wana kituo kama hicho kipo Mlimani city kimeachiwa kiendelee na kazi mpaka muda huu. ========== Tanzania opposition says police raid tallying center after election Tanzania's biggest...
  7. amilyroley

    Lowassa Live ITV akipiga Kura Monduli

    Spencer Lameck yupo live kutoka Monduli. Foleni ni kubwa na amesema anasubiriwa Lowassa atakuja kupiga kura kituoni hapo. Yupo live muda huu. Updates 1.. Tayari Lowassa ameshapiga kura akiambatana na mama Regina na amehojiwa na vituo mbali mbali vya habari ikiwemo mwandishi wa Al Jazeera...
  8. amilyroley

    Hakuna Jipya Katika Mkutano wa Magufuli Leo Jangwani

    Pamoja na nguvu kubwa ya mabasi ya UDA na coasters za kukodi nyingi kuzunguka jiji lote kukusanya watu lakini sijasikia jambo jipya pale zaidi ya ahadi amnazo miaka yote wanazirudia kwenye kampeni. Wazee wao wote walikuwepo ila mipasho tu ndio iloyogarimu pesa nyingo pale za wasanii na mabasi ya...
  9. amilyroley

    Lowassa azizima Mikumi, Prof Jay Ubunge tayari

    Leo Lowassa amefanya mikutano mitano. Mlimba, Ifakara, Mikumu/Ruaha, Chalinze na Kibaha. Pote Lowasaa ametikisa kwa nafuriko ya balaa kama iilivyo kawaida yake. Amehitimisha kampeni za mikoani na kesho atazizima jijini dsm kwa mkutano wa kihistoria ambao watu nusu milioni wanakadiriwa...
  10. amilyroley

    Kutoka uwanja wa Shule ya Jangwani - Ifakara: Mkutano wa Kampeni wa CHADEMA

    ITV wàpo live na Lowassa toka Ifakara muda huu. Ni balaa. Kesho mfuniko unadondoka dar kama kawaida yetu tunawapoteza majirani zetu Updates.. Watu watano wamezimia kutokana na wingi wa watu huku upande wa mashariki. Watu ni wengi mno kupitiliza. Kwa upande wa magaribi nako hali sio nzuri vijana...
  11. amilyroley

    Mama Lowassa na Anna Mgwhira wakutana Mwanza, waongea kwa masaa mawili

    Mama Lowassa Jana alifanya mikutano mikubwa mwanza. Na mgombea wa urais wa ACT mama Anna Mghwira alikuwa na mkutano Mwanza viwanja vya furahisha. Wanawake wote wawili baada ya mikutano yao walikutana usiku jana na kuongea kwa masaa mawili. Hongereni akina mama mnaojitambua.
  12. amilyroley

    VOA: Huenda Lowassa akashinda Uchaguzi Mkuu Tanzania

    Shirika la habari la Marekani la Voice Of America VOA kupitia kipindi chake cha Straight Talk to Africa limesema Mgombea wa UKAWA ndugu Edward Lowassa atashinda uchaguzi mkuu Tanzania kupitia tafiti zao za kitaalamu walizozifanya. Walikuwa katika kipindi cha saa moja ya uchambuzi wa uchaguzi wa...
  13. amilyroley

    Lowassa ajihakikishia kura Milioni 6 za Dar, Arusha, Mbeya na Kilimanjaro

    Lowasa amejiwekea kibindoni kura milioni 6 za mikoa minne ambayo ni Dsm, Arusha, Mbeya na Kilimanjaro ambapo hawasikii la mtu kwa Lowasaa. Kura milioni 5 za ushindi zitaongezwa na mikoa mingine ambayo watagawana na Magufuli..
  14. amilyroley

    Nani Mwenye Akili Timamu Kati ya Hawa.

    Kati ya hawa watu wawili..nani mwenye akili nyingi zaidi ya mwenzake?
  15. amilyroley

    Al Jazeera na CNN wawasili Tanzania kuripoti matokeo Uchaguzi Mkuu

    Baada ya BBC kutangulia kuja Tanzania, sasa Yale mashirika makubwa ya utangazaji duniani ya CNN kutoka Atlanta Marekani na AlJazeera kutoka Jijini Doha Qatar yamewasili kuweka base ya kuripoti uchaguzi mkuu na kufanya interview na wagombea wa ngazi kubwa kubwa. Sasa wale wagombea wa...
  16. amilyroley

    Umuhimu wa Wasanii Ziara za Magufuli Waonekana Dar

    Leo magufuli ameangukia pua baada ya kukosa kabisa watu katika ziara zake jijini dar. Kigamboni amepata robot uwanja na temeke mwembeyanga kabisa ndio kapata aibu. Alifanya ziara bila wasanii. Wachambuzi wa siasa za CCM wamesema umuhimu wa wasanii dar ni muhimu mikutano ya CCM. Muda huu mabasi...
  17. amilyroley

    Hatimaye Nape Akata Tamaa. Amkatalia Magufuli Ziara za Dar

    Hali inazidi kuwa mbaya kwa katibu wa itkadi na uenezi wa CCM anayegombea jimbo la Mtama. Hàli ya kukataliwa na mahudhurio hafifu ya mikutano yake na kuzomewa imemkosesha matumaini ya kuchukua jimbo. Aliombwa na Magufuli kuambatana naye ziara ya DSM akamchomolea angalau abaki kuokoa hali...
  18. amilyroley

    Jaji Lubuva Asema Sheria Inawaruhusu Raia Mita 200

    Jaji mstaafu Damian Lubuva ameyasema hayo katika kongamano la majaji leo akiwa na Jaji Mkuu wa Tanzania. Amesema sheria inaruhusu wananchi kukaa mita 200 kutoka kituo cha kura Chanzo: East Africa Radio
  19. amilyroley

    Lowassa na Mbowe Ndani ya Ndege Kuja Dar Msibani

    Mashujaa wa vita wakiwa ndani ya pipa kuja dar kwenye mazishi ya Dr Makaidi.. Lowassa The Political Genius akisummerize mambo.. Si mvivu huyu jamaa
  20. amilyroley

    Photoshop Zingine Balaa. Niambie Jukwaa Lipo Upande Gani.

    Haaaaa haaaa wakati mwingine inabidi kucheka ukiangalia hii picha ya kutengeneza ili kupata mafuriko. Hapo kuna pocha zaidi ya nne zimechanganywa ili kupata oicha moja ya kuonyesha wingi wa watu. Sasa kila kundi hapo ukiangaliabkwa umakini lina uelekeo wake. Sasa sijui jukwaa lipo upande gani...
Back
Top Bottom