Kwa kweli shekh kazi ulioifanya imeleta athari kubwa sana na tunategemea faida zaid katika maandiko yako,
Maana sioni kwa kuyapata kwa sasa km si kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja ya nani mwafrika inaonekana inawagonga sana vichwa wasomi kitu ambacho kinapelekea watu wa kawaida tusielewe kabsa juu ya dhana hii tete nikaona acha niwaletee hii hoja ukumbi janvini hapa
Aisee !tumekusoma!
kwa maoni yangu nahisi una hadhi ya kuitwa prof.maana kila ukija una jambo ambalo hatulijui.
Mungu akupe uhai mrefu uzidi kuondoa fitna ktk historia
Hivi huyu pascal anahadhi ya kuitwa mwandishi kweli! Maana inaonekana huwa anahoja nyepesi na zenye lengo La ubishi na kubuy time tu
Au ndo uandishi wa mtandaoni(kila MTU mwandishi)!?
Embu leta kazi zako zinazotokana na primary source km mzee Mohammed anavyofanya
Hivi we jamaa pascal embu tupe ushahidi wa kuhadithiwa mapinduzi na mwanamapinduzi maana the way unaongea inaonekana km unatumia mawazo yako na ushabiki, maana mzee Mohammed said huwa anatupaga ushahidi wa mengi anayoyasema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.