Search results

  1. Pena

    Ponda alazwa Muhimbili chini ya ulinzi mkali

    Skeikh Ponda MNAFIKI TU, mbona amekubali kutibiwa na MAKAFIR?
  2. Pena

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    ndio ajue kuwa CAMERON sito dhaifu kama JK... ukimwagia tindikali wananchi wake unakula shaba tu.GAIDI MKUBWA!
  3. Pena

    Jopo la Maaskofu lakutana Mbagala, latoa tamko zito

    Shule inasaidia sana, viongozi wa dini ya kikristo wana PHD, na matamko yao yanajenga UPENDO, MSHIKAMANO NA AMANI... Ushauri kwa sisi waislamu, tuwashawishi viongozi wetu wa dini waongeze elimu, wengi wao ni DARASA LA SABA.
  4. Pena

    Tamko la madaktari bingwa MNH, MUHAS na ORCI

    Serikali leo imetoa ofa ya kulipia gharama zote za matibabu, madaktari wamekataa... Wamesema hawataki fedha ya yuda iskarioti.
  5. Pena

    Wabunge wa CCM wakataa Kuunga Mkono hoja ya Kujadili Mgomo wa Madaktari

    Faiza Foxy comment zako burudani kichizi!!...... Utafikiri mgonjwa wa wodi ya vichaa
  6. Pena

    Hatimaye Hamad Rashid, Shoka Hamis na wenzao wawili wafukuzwa CUF!

    CUF kimejaa viongozi wachumia tumbo, Chama katibu ana nguvu kimamlaka kuliko mwenyekiti!!!!....hamna tofauti kati ya HR, Osama [Seif], Lipumba, etc....Wote njaa kali.
  7. Pena

    Rostam Aziz aachia ngazi CCM

    Tahadhari, Rostam ndio kascore goli la ushindi, ila watu wanafurahi kama vile RACHEL ndio wamefungwa. Huu mkakati wa kuwavua gamba utaishia KUWASAFISHA mapacha 3. Kumbukeni maneno Rostam aliyomwambid Membe, watatumia mbinu zile zile [walizotumia 2005 kumuingiza kikwete madarakani], kuhakikisha...
  8. Pena

    Ukikutana na kikwete, utamshauri nini?

    AJIUE, atatupunguzia mateso watanzania yanayotokana na MTINDIO wake wa akili.
  9. Pena

    Aliyekuwa Mgombea Ubunge CHADEMA Shinyanga, afariki

    Poleni sana wana CHADEMA, na wapenda haki wote. Kesi yake ya kupinga matokeo ya Uchaguzi ndiyo imekufa? au Chama kitaiendeleza?
  10. Pena

    Alichakachua kura za shinyanga mjini ahamia kahama kinyemela

    Huyo jamaa hajawahi kukimbia ofisi. Kila siku yuko kazini kama mtumishi mwengine wa kawaida. Kwa sasa Mkurugenzi huyo yuko likizo, anamaliza tarehe 8/4/2011. Kahama ndiko alikoanzia kazi kama mchumi, na ndiko alikojenga mji wake. Hajawahi kukosa kazini hata siku moja.
  11. Pena

    Nampenda bt naogopa kumwambia!

    Nipe namba yake ya simu, nikusaidie kumwambia.
  12. Pena

    Hotuba ya Rais ya mwisho wa mwezi Februari, 2011

    Nimewashtukia Chadema! MKWERE ni Spy wao waliyemtuma aende kuimaliza CCM!!!.... Bonge la mbinu!
  13. Pena

    Kweli waTanzania wamechoka. Nchi imemwagiwa petroli. (MWANZA)

    Hao wanaoyakandia maandamano wanataka kuzuia ujumbe unaotolewa na makamanda wetu usitufikie. Kwa hiyo tusiingie kwenye mtego wao, TUWAPOTEZEE, tusilumbane nao na kupoteza muda wetu. Tufocus kwenye ujumbe unotolewa kwenye hayo maandamo.
  14. Pena

    Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    pua, mdomo, na masikio
  15. Pena

    Azimio la Morogoro tarehe 13/02/2011 - Boma Road

    ushauri wa bure kwa ndugu zangu waislamu, badilini viongozi wenu, hawa ndio wanaowadhalilisha.
  16. Pena

    January Makamba akataa bahasha za milioni moja za "Lunch"

    Matamshi haya aliyoyatoa dhidi ya wabunge wenzake ni mazito sana, yanaivunjia hadhi kamati iliyopita. Ingekuwa vema atoe vithibitisho,la sivyo aombe radhi!
  17. Pena

    Cv ya katibu mkuu wa ccm

    Hunywa maji ya Chooni kabla ya kuongea, ndio maana yanayotoka kinywani mwake hukera roho za walio wengi.
  18. Pena

    Lowassa azungumzia kuanguka kwa Hosni Mubarak

    Nyie BINADAMU WADOGO WADOGO kelele zenu haziwezi kumuumiza kichwa BINADAMU MKUBWA [Mvi]
  19. Pena

    Jaji M.C. Othman Jaji Mkuu mpya wa Tanzania

    "Ifike mahala tuache kutia nyongo kila jambo linalofanywa na watawala. Nimesoma kwa makini wasifu wa Jaji Mkuu mpya Othman Chande. Inajitokeza waziwazi kwamba huyu ni mtu mwenye wasifu na sifa za juu kabisa katika maswala ya sheria na mahakama. Ana uzoefu wa hali ya juu kitaifa na kimataifa...
Back
Top Bottom