Search results

  1. U

    Elections 2010 Viongozi wa Chadema tuambieni tukusanyike wapi

    Dhuruma zimezidi, wazalendo tusimame imara, nguvu ya umma itumike, kusubiri miaka mingine mitano ni kutojua wajibu wetu kwa kizazi kijacho, tutaendelea hivi hadi lini??? Dr. Slaa tunasubiri tamko lako, umetufumbua macho, maovu mengi ya viongozi wetu tumeyaona na tunaendelea kushuhudia, nchi na...
  2. U

    Elections 2010 Tamko la Dr.Slaa

    Hongera Baba kwa kazi nzuri na nzito, kweli umakini wako ni chachu muhimu katika Taifa letu, asante sana. Tuko pamoja nawe!!!!:smile-big:
  3. U

    Elections 2010 Zitto ajeruhiwa na Polisi, apelekwa Hospitali

    Tusichezeane akili wana Jf, issue ni serious, mwenye data zaidi atuhabarishe. Pole sana mhe. Zitto, ila kama utaweza kutueleza kwa undani zaidi mwenendo na kiini hasa cha tukio hilo la kinyanyasaji lilikuwaje ni bora zaidi. :doh:
  4. U

    Elections 2010 Yanayojiri huko Shinyanga

    Hongereni watani wangu wasukuma, hatimaye na ninyi mmeamka, mwenye matokeo ya jimbo la meatu, kishapu na sorwa atupatie data, asante manyusi!:yield:
  5. U

    Elections 2010 Bariadi, Kahama, Maswa, Musoma Mjini, Ubungo Tayari CHADEMA

    Thank you First Lady1, i like that band. Cheering 4 all JF members!:cheer2:
  6. U

    Elections 2010 Masha agoma kusaini matokeo.. Diallo amwagwa na Hiness wa CHADEMA

    Masha, Diallo na Batilda jameeeni hii ndiyo demos [Watu] kratos [nguvu, power], kuendelea kung'ang'ania kubaki madarakani ni kujidharirisha na kuonyesha ni vipi hamna ufahamu wa mambo haya. watu wameamua na kuchangua viongozi wao, basi mkubali msaini ili yaisheeee! Na huu ni mwanzo tu kazi...
  7. U

    Elections 2010 Kahama: CCM aibu kubwa

    Jamani mwenye matokeo ya shinyanga atuhabarishe, mbona kimya mkoa huo, :israel:kuna nini????
Back
Top Bottom