Search results

  1. S

    UKAWA wanajifanya wana uhakika wanachukua nchi. Lakini ukiwaambia TUBETI milioni milioni wote MITINI

    hahahahaaaaaaa hali ya hewa imechafuka. jamaa hawana uvumilivu aisee
  2. S

    UKAWA wanajifanya wana uhakika wanachukua nchi. Lakini ukiwaambia TUBETI milioni milioni wote MITINI

    Oyaa punguzeni hasira basi wazee. Siasa sio chuki, sio uhasama
  3. S

    UKAWA wanajifanya wana uhakika wanachukua nchi. Lakini ukiwaambia TUBETI milioni milioni wote MITINI

    Haaaahahaaaaaaaaaaa, yaani jinsi wanavyotukana napata majibu wanavyoamini kuhusu matokeo yatakavyokuwa:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
  4. S

    UKAWA wanajifanya wana uhakika wanachukua nchi. Lakini ukiwaambia TUBETI milioni milioni wote MITINI

    oooooh, eti unawaza kamali tu. kwani tatizo liko wapi. nyie si mna uhakika mnachukua nchi. weka milioni mezani. wote mbio kama kila mtu na lwake kama ndege waliokurupushwa kwa jiwe
  5. S

    UKAWA wanajifanya wana uhakika wanachukua nchi. Lakini ukiwaambia TUBETI milioni milioni wote MITINI

    Ukawa wana mbwembwe sana. Wanajifanya wana uhakika kwamba wanachukua nchi. Lakini ukiwaambia TUBETI kila mtu atoe milioni milioni wote wanaingia mitini
  6. S

    Mabilioni yametengwa kumsafisha Lowassa ili aingie Ikulu

    Na Saed Kubenea - Imechapwa 30 March 2011 WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya mkataba tata wa Richmond, Edward Lowassa ameelezwa kuwa na mradi wa karibu Sh. 8 bilioni wa “kujisafisha” na kumwingiza ikulu. Lowassa alipoulizwa na gazeti hili kuhusu mradi huo, alijibu kwa mkato, “Mimi sijui.”...
  7. S

    List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

    Binadamu kukosea ni kawaida. List of Shame imepungukiwa na mtu mmoja. Imekatwa. CHADEMA wameikata List of Shame. Wamebaki kumi kutoka kumi na moja. Sasa CDM watueleze, mpaka kufikia hivi sasa, waliomsingizia ufisadi ni Lowassa tu. Au kwa kuwa ni mgombea wao wa Urais. What a coincidence...
  8. S

    Rwanda inaongoza kwa Elimu East Africa

    sasa nchi ukubwa wake kama Mbagala ukishindwa kuwapeleka asilimia 97 darasani utakuwa rais au rahisi!
  9. S

    Mkutano wa Zitto & Dr Kitila Mkumbo kuwa streamed LIVE

    live wapi bana? saa tano hii
  10. S

    CHADEMA Yaungana na NCCR kusambaratisha CCM Kigoma Kusini

    tusipokee mambo kirahisi. tujiulize mara nyingi tena na tena. suppose hii email imeandikwa makusudi na nchimbi na mwigulu katika kanpeni ya kumchafua zitto. hili nalo linawezekana jamani. natahadharisha tu. tuwe makini. kwenye siasa kuna michezo michafu sana.
  11. S

    TAKUKURU: Anzeni na Jerry Silaa, Huyu kijana fisadi hatari

    acha chuki. kama kweli una issue nenda takukuru kawaambie ufisadi wa dogo.
  12. S

    Salama ya CDM, Mbowe, Slaa na Zitto wote wapumzike

    hilo ndio tatizo lenu. badala ya kujadili hoja mnakimbilia hoja nyepesi! kwamba ukitofautiana na mbowe tu basi ushakuwa magamba. jibu hoja hapa. hoja yangu ni kwamba zitto ni msaliti katika chama lakini pia waraka wa akina zitto una contents kuhusu udhaifu wa uongozi wetu. uamuzi wa...
  13. S

    Salama ya CDM, Mbowe, Slaa na Zitto wote wapumzike

    Zitto kwa kutumia njia za siri ameikosea CDM, lakini kilichoandikwa kwenye waraka pia kina ukweli juu ya udhaifu wa uongozi wa Mbowe na Dk.Slaa. Hivyo ningepewa nafasi ya kufanya maamuzi kwa maslahi ya chama, ningewang'oa wote, Zitto na watu wake kwa upande mmoja na Mbowe&Dk. Slaa.
  14. S

    For Critical Thinkers Only: Nini tatizo la Waraka wa Mabadiliko 2013?

    Tuhuma ya Zitto kutumiwa na CCM iliyotoka wiki kadhaa zilizopita ilikuwa nzito sana. ilikuwa na data ambazo huwezi kuzitunga bila kubainika kama unadanganya. Pia kwa mtuhumiwa huwezi hata kujitetea. Ndio maana Zitto hajawahi kutoa utetezi unaofuta na unaolingana na uzito wa tuhuma hizo...
  15. S

    For Critical Thinkers Only: Nini tatizo la Waraka wa Mabadiliko 2013?

    Binafsi sijaona tatizo kwenye ule waraka. Ni watu wanaojipanga kuchukua madaraka dhidi ya uongozi wenye viashiria vya ung'ang'anizi wa madaraka. Wametengeneza mkakati wao wa siri badaye umevuja. Viongozi wa cdm wame over react pengine kwa hofu ya kupoteza madaraka hasa wakiangalia jinsi...
  16. S

    Elections 2010 Mheshimiwa John Pombe Magufuli awe Rais wetu

    Watu bana wakiamua kumpaka mtu matope, eti "BUTA BABA GETE MTALEOBONE LAMI"
  17. S

    Kwa wahasibu wetu: Nyumba ni 'Asset' au 'Liability'?

    Huo uhasibu mwenzetu uliusomea wapi? kwani hujui kuwa Owners Equity ni liability kwa business? Refer Business Entity principle. Kwa ujumla Assety=Liability.
  18. S

    wanawake kuwanyima unyumba waume zao kama adhabu ni sahihi?

    Wanaume wengi sex ya nyumbani huiona kama bughudha, wanaifanya kutekeleza majukumu yao kama MME, lakini sex iliyo tamu ni ya nje. Hivyo ukimnyima unyumba ni kama unamsaidia, manake anakamua nje halafu akija nyumbani hadaiwi
Back
Top Bottom