Ila Waja khaaa .......Mtu kashakuwa marehemu ila bado una nongwa, utadhani umaskini ni sifa. Sasa mtoto azalie kwa baba ake wewe huku upate mtoki. Acha hizo mwacheni baba wa watu apumzike chukueni mema yake mabaya muachieni mwenyewe.
Kwa kweli hapa ni changamoto na mateso makubwa, mie wa Mkoani nilikuja hapo kikazi imagine kwa siku mbili tu nikaona mwaka, nikawaza ivi ningekuwa mkazi wa hapa na hawa wanangu (pacha) siku waumwe ikanilazimu kuwa hospital asubuhi na dada wa kazi hapa tunapandaje haya madude ? Leo umenikumbusha...
Uko sahihi kabisa Mkuu na wala sikatai, wengi wametoka huko ila ukiwaasa hawasikii kabisa utasema wakiwa huko Mjini akili zinahama na huo udadisi ndio shida inapoanzia kumbuka "curiosity kill the cat"
Jamani nimesikitika kwa kweli hakukuwa na sababu ya kumpiga kiasi hicho, mbona alianza tu kusogea mwenyewe, mtu amejitokeza kwa mapenzi mema amuage Marehemu anaishia kurudi nyumbani na ngeu khaaa mpaka hata huyo mwenzie hapo kamshangaa. Huyu mlinzi mwendawazimu kweli achukuliwe hatua
Wewe ndio umeyataka kumpeleka mtoto mgonjwa huko ona sasa, yaani hadi nimemchukia uyo Mama J wako mtoto hapo kosa lake ni nini? Two years jamaniii. Hitaji langu kwa Mwenyezi Mungu kila leonamuomba anipe umri mrefu nilelee wanangu jamani mpaka tumbo la uzazi limenicheza. Wanawake tubadilike...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.