Search results

  1. Gift Shine

    Ukiwa na tabia hizi, jiandae kuwa middle class na kuteseka ki uchumi!

    Maisha ni kujipanga na kujipanga ni kuamua! Hakuna formula ya maisha, ndio maana wakati mwingine maisha ni bahati ya mtu. Unaweza kuanza kwa kujenga halafu vingine vikafata au ukaanza na gari halafu nyumba ikafata, whichever is excellence! Ushauri kwa vijana wenzangu. Ukiona wewe kwanza ndiyo...
  2. Gift Shine

    Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi

    Swala la ndoa ninaliamini katika misingi mikuu miwili; 1. Mke/mume bora hutoka kwa Mungu Hivyo sisi binadamu tunatekeleza yale yaliyopangwa na Mungu 2. Mfahamu mume/mke wako vizuri kabla ya ndoa Ni swala la muhimu kumfahamu mume/mke wako vizuri kabla ya kufikia maamuzi ya kuishi na mtu wako...
  3. Gift Shine

    Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    Pole kwa wote waliofikwa na tatizo hili.
  4. Gift Shine

    Kariakoo: Mfanyabiashara ajirusha toka ghorofa ya tisa na kuangukia gari mchana huu

    Unfortunately it not said if he passed away or he still alive, and what could be the proximate cause of his accident. Anyway, I feel sorry to him.
  5. Gift Shine

    CCM wamgeuka RC Arusha: WADAI AMEMWONGEZEA UMAARUFU LEMA, CHADEMA

    The problem here is that we do not have general objectives rather than every one in charge comes with his/her own objective, tutafika????????
  6. Gift Shine

    Elections 2010 [NOT OFFICIAL]: JJ Mnyika: Tumeshinda kwa zaidi ya kura 20,000

    Congratulations CHADEMA, Mmeleta mabadiliko ya kweli kabisa.
  7. Gift Shine

    Elections 2010 Batilda Agoma Kusaini Matokeo!

    Kwa kawaida, once you contest to any election, it means you are ready to win or to lose. Nadhani Dr. Batilda akubali ukweli kwani siasa sio mwisho wa maisha.
Back
Top Bottom