Search results

  1. K

    Tunapowalaumu polisi wetu, Ni vema pia tukakumbuka ukweli huu

    ​​​Nimekuwa nikiangalia hali ya kisiasa inavyokwenda nchini na jinsi mchakato wa katiba feki ulivyo igawanya nchi kati ya wale wanaofaidika na mfumo uliopo na wale wanaopenda mabadiliko. Ni ukweli usiyo pingika kwamba tangu mwanzo CCM hawakuwa na nia ya kuandika katiba mpya...
  2. K

    Tunapowalaumu polisi wetu, Ni vema pia tukakumbuka ukweli huu

    Na mbwa akiwa ana ng'ata watu hovyo hovyo mitaani hupigwa mawe au kupigwa mkuki au mshale pale asipokuwa na bwana wake. Kwahiyo polisi waelewe kuwa unyanyasaji umezidi na huko tuliko nao mitaani watu watalipiza kisasi. Ikitokea hivyo kila sehemu wanabadilika au anayewatuma atafikiria njia...
  3. K

    Picha: Maandamano ya amani ya BAWACHA yaliyovurugwa na Polisi

    Watanzania tufike sehemu tuseme inatosha. Hao polisi wanao piga watu, kutesa na kuwanyima haki wanaishi mitaani pamoja nasi. Hawa kazi ni ndogo tu. Wenye simu zenye kamera tafadhali chukueni picha za hawa polisi na ziwekeni wazi watu wawafahamu kwa sura, majina,halafu waombeni watu wanaowafahamu...
  4. K

    Nimekutana na article hii nzuri by Vitali Maembe

    Hotuba ya mfungwa Mswahili|Na Vitali Maembe, Berlin Ndugu waheshimiwa na wote msioheshimiwa! Kwanza nianze kwa kumshukuru Mungu kuniweka hai na kunitia nguvu. Hii ni hotuba ya kwanza kabisa ya mfungwa Mswahili kwa watu wote, naiandika huku nikiomba Mungu iwafikie ikiwa hivi nilivyoiandika...
  5. K

    Serikali yataka kumaliza tofauti za kisiasa Arusha kwa mazungumzo

    Ni gelesha tu hawa! Wanataka kuwapumbaza watu kwa mazungumzo ili tusijadili mauwaji waliyo yafanya. Kwanza kabisa tuwapate waliotoa amri ya waandamanaji wasio na silaha kuuliwa na polisi halafu baada ya hapo ndiyo maongezi yaje. Ni kitu cha ajabu kwa serikali iliyopo sasa kutokuwa na hekima...
  6. K

    Please read this research paper and discuss! But be objective.

    Thanks for your comment. Will try to do that
  7. K

    Please read this research paper and discuss! But be objective.

    THE STATE OF POLITICS IN TANZANIA - THIRD QUARTER REPORT [2010] PREPARED BY KONRAD ADENAUER STIFTUNG [KAS] – TANZANIA COUNTRY OFFICE I. INTRODUCTION TANZANIA political landscape changed dramatically in the third quarter of the 2010 due mainly to three factors: CCM...
  8. K

    RE: We are not alone in this debate

    Ahsanteni sana kwa michango yenu na uchambuzi. Kama ni safari ya kuelekea kwenye demokrasia ya kweli, Tanzania tunayo na hatutafika siku za hivi karibuni.
  9. K

    RE: We are not alone in this debate

    We might think as Tanzanians we are the only ones who found the just ended general elections as a joke if not an insult to our intelligency. Members of the international community who wish Tanzania well are trully bothered by what they saw, heard and felt. I can confidently say that the...
Back
Top Bottom