Benki zote zinasisitiza mambo uaminifu kwa wateja. Sasa kama mteja nae anawaficha hao watu ama benk ni tatizo. Ungeenda kuripoti hata kwa meneja wa tawi ama kiongozi yeyote hapo walishughulikie kwa ndani.
Olu ini olu pole sana.
Ajali gani dunia nzima haijashuhudia. Hakuna gata sisimizi anayema alishuhudia ajali.
Mtu ametangazwa anatafutwa hadi wiki baadae ndo anapatikana. Tena ukisikiliza maelezo ya polisi ndo unachoka zaidi.
Kwa nini iwe huyu tu? Smelling uovu hapa either party.
Wasalam,
Tupeane update hapa hali na madhara ya mvua hizi zinazosemwa kuwa ni elnino huko ulipo.
Madhara yameendelea kuwa makubwa sehemu tofauti nchini, kuanzia mikoa ya ukanda wa bahari ya hindi, kaskazini n.k
Vifo vya watu, mifugo ambayo haisemwi, mazao pamoja na mali nyingine zikipotea kwa...
Tungekuwa tuna IGP anaejielwa angetosha kuwa anasimamia hili. Sema nao sijui huwa wanadhani ni maagizo kutoka juu, wanaogopa kutumbuliwa.
Hapa alikuwa anapiga simu ya upepo kuwaambie waache ujinga wafanye kazi za maana jambo linaisha.
Habari wana jamvi?
Binafsi namkubali huyu jamaa kwa uthubutu wake wa baadhi ya mambo na namna anavyopambana kuweka alama ya uongozi.
Wengi hawapendezi kwa namna anavyowasimanga wengine, lakini kwa sasa na hizi tabia zetu acha afanye tu.
Kinachonipa mashaka ni toka amalize kikao chake na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.