Search results

  1. N

    DPP Biswalo Mganga Afanye Kweli Sakata la IPTL

    Hili libabu limeoza akili. Eti linamsukumia zigo DPP, why not magufuli? Mwanakijiji kaoza kichwa baada ya kwanza kushangilia ovyo. Litaendelea kuhamisha magoli hadi litachoka.
  2. N

    Upande wa Pili Mbona Pumzi Imekata?

    Tupo bize tunatembeza bakuli kuchangisha Pesa za maafa. Tulitenga bajeti hewa ya maafa, tetemeko limetuumbua. Tupeni muda tutembeze bakuli. Tukichangisha nyingi tutawaomba wahanga nusu ya Pesa yao tujenge kiwanda ili wafanye kazi wajenge nyumba zao.
  3. N

    Rais Magufuli ndiye tatizo, ameua viwanda na biashara ndani ya siku 300

    Pesa za maafa zimeyayuka hadi tunatembeza bakuli. Hali ya uchumi ni nzuri sana.
  4. N

    Hivi ndivyo vyanzo vikubwa vya mapato vya serikali ya rais Magufuli, tutafika?

    Kuomba kwa wadau kimekuwa chanzo kikuu cha Mapato.
  5. N

    Polisi Kagera wamzuia James Mbatia kutembelea maeneo yaliyoathirika na kugawa misaada

    Kuna kitu hakipo sawa tz. Kwa kushabiki wetu wa kupenda vyama kuliko taifa ndio tatizo.
  6. N

    Rais wetu yuko wapi tena? Kagera hayuko Zambia hajaenda

    Ni kweli kabisa, sio kawaida take kukaa kimya. Kuna jambo japo.
  7. N

    Hivi kweli Serikali imekosa 2.3 bilioni mpaka imeitisha harambee?

    Sijui were itakuwa unatumia mini?
  8. N

    Hivi kweli Serikali imekosa 2.3 bilioni mpaka imeitisha harambee?

    Madawati harambee, tetemeko harambee, hata viwanda itakuwa harambee. Eti tra wanakusanya trilioni? Hii ni serikali ya Zimbabwe sio ya Tanzania ninayoijua.
  9. N

    Zaidi Ya Watumishi Hewa 17,100 Wafukuzwa Serikalini

    Utamfukuzaje mtumishi hewa?
  10. N

    Live Kutoka Leaders Club: Maandalizi ya Maandamano ya vijana watafuta Ajira 13.09.2016

    Economic recession in Tanzania due to magu contractionary economic policy.
  11. N

    Waziri Nape: Ili kuondoa fitina, CAG akakague mahesabu TFF

    Tff sio entity ya umma. Eti cag akague sukuma Saccos?
  12. N

    Mrejesho wa maombi haya ya Wabunge machachari kutoka CCM

    Haya mabunge akili ndogo. Uchumi unadorora yapo tu.
  13. N

    Mbowe na Maalim Seif wafanya kituko kingine cha kisiasa hadharani!

    Umetumia nguvu nyingi sana kutoka ushauri. Busara ni kutumia nguvu hiyo kumshauri Raisi Magufuli arekebishe uchumi unaodorora.
  14. N

    Bandari yawafuata wafanyabiashara 100

    Matapishiiii. Mtu anaongea kama kakatwa kichwa. Ndio maana wana hasira sana kumbe wana msongo wa mawazo.
  15. N

    Katibu UVCCM anusurika kipigo

    Mabina alikufa kwa staili hii. Wanapora ardhi kwa ubabe halafu
  16. N

    Kumekucha tena: Mgogoro Tanzania na Malawi waibuka upya

    Kuepusha vita, rais wetu amwachie waziri mahiga kufuatilia hili jambo. Yeye akae kimya tu. Vita na mdororo huu wa uchumi? Jamaniiiii
  17. N

    Serikali yaipa miezi mitatu Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kutekeleza Ujenzi wa Viwanda

    Naona fao LA kujitoa hadi miaka 55 litawekwa kwenye katiba kabisa. Hii mifuko inaidai serikali matrilioni. Haya, poleni watumishi, mna kazi ya kupata mafao yenu.
  18. N

    Watanzania sisi ni watu wa ajabu sana,tusipoguswa yanakuwa hayatuhusu bali yanamuhusu alieguswa tu

    Tatizo hawajui hadithi ya mtego wa panya. Mtegoni huingia wanaohusika na wasiohusika.
  19. N

    M/kiti wa CUF Taifa,J.Mtatiro kuzungumza na waandishi wa habari leo 4/9/2016

    Kambaya na genge lake lazima washambulie mkutano huo. Lazima fujo zitokee.
Back
Top Bottom