Mahitaji
Boksi, bakuli la maji, bulb, holder na themometer.
Jinsi ya kutengeneza
Toboa boksi mduara wa kutosha kufit bulb, weka mayai, bakuli la maji kwa ajili ya kutengeneza unyevu na mwisho weka thermometa.
Unganisha umeme na kaa nusu saa, hakikisha kipimo chako kinasoma 38c geuza mayai kila...
Takriban walimu zaidi ya watano wamesusa wanafunzi katika shule ya Msingi Isenyela, Wilayani Chunya na kujisongeza shule za jirani kwa tuhuma za wazazi kuwatenga walimu.
Kisa mzazi alimuweka ndani mwalimu baada ya kumpiga na kumjeruhi mwanae.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.