Search results

  1. T

    Vita kali kati ya Ben Saanane na Selasini Rombo jana, vurugu zatawala

    Huo mtandao aliokua akijenga Mkuu tena kwa Mbunge una lengo la kumpotesea mbunge umakini bungeni
  2. T

    Natangaza nia ya kugombea udiwani Kelamfua Mokala

    Huyo Ben Saanane umemtaja kama nani maana yeye sio mbunge wa Rombo
  3. T

    Vita kali kati ya Ben Saanane na Selasini Rombo jana, vurugu zatawala

    Hilo kundi alilounda na mtandao wake ni hatari sana kwa Uhai wa Chama tena hadi amepanga safu ya Uongozi na sijui kuna siri gani kati yake na Matajiri wa Tarakea akina Maulidi ambao ni mafisadi
  4. T

    Vita kali kati ya Ben Saanane na Selasini Rombo jana, vurugu zatawala

    Hana tofauti na Zitto.Ni jeuri Haambiliki hata kidogo.Jina la huyo aliyeshinda liliondolewa na kamati kuu baada ya kushinda tena mwaka jana.Uchaguzi umerudiwa amechukua tena fomu kwa ushawishi wa Ben na Kundi lake.Huku ni sawa na kutunishiana msuli si na Selasini tu bali hata na Makao Makuu ya...
  5. T

    Vita kali kati ya Ben Saanane na Selasini Rombo jana, vurugu zatawala

    Jana ndio nilijua Ben na Zitto hawana tofauti kwa siasa chafu za fitna.
  6. T

    Vita kali kati ya Ben Saanane na Selasini Rombo jana, vurugu zatawala

    Hakuna mwanasiasa mwenye siasa chafu kama huyu kijana. Huu Mtandao anaoujenga labda ashinde kura za maoni vinginevyo utakipasua chama chetu.Siasa chafu zimepigwa tena za kibaguzi.Kura za maoni zisiposimamiwa na Makao Makuu naona watu wakitoana roho kwa mara ya kwanza. hivi kwanini asiebde jimbo...
  7. T

    Vita kali kati ya Ben Saanane na Selasini Rombo jana, vurugu zatawala

    Uchaguzi wa Katibu wa Chadema Rombo umefanyika ukitawaliwa na vurugu kabla ya uchaguzi kati ya makundi yanayopingana vikali kabla ya uchaguzi wa Kura za maoni ndani ya chama. Uchaguzi huu ulitawaliwa na Shamrashamra na mbwebwe za makundi hasimu ambayo pia ni hatari kwa chama. Joseph Kagambo...
Back
Top Bottom