Kama unamwalika mtu kwenye sherehe ambaye unajua kwamba anawezakusema lolote pasipo kuliweka wazi au kufikiria athari yake, kisha unaanza kulalama tumwone mjinga ni yupi????
Nadhani wakati umefika wa viongozi wa dini kumpatia Mungu heshima kuliko kuhitaji sana uwepo wa viongozi wa kiserikali...
Hapo nilipoweka red sijapaelewa. Je! Unamaanisha mwili wa CDM kuvunjika na kutupwa baharini au unamaanisha mwili wa kiongozi aliye hovyo kuvunjwa na masalia yake wakang'aniana vyama vingine?
Ben, I support your constructive ideas. Tunahitaji watu wenye kuainisha chimbuko la matatizo tuliyonayo katika uongozi ndani ya taifa hili na si watu wanaotaka kuziba viraka pasipokujua chanzo cha kutoboka kwa nguo inayohitaji viraka. Kimsingi migongano ni mizuri ikiwa itawezakuwa managed vyema...
Ndg yangu ninakushukuru. Nami ninachomaanisha siyo kufuga wezi na watu wasiowaadilifu wenye lengo la kuhatarisha ustawi wa chama, na kwa lugha nyingine kuhatarisha ustawi wa taifa. Ninasema haya kwasababu, ustawi na uimara wa CDM na vyama vingine vya siasa hauwezi kuishia kuwanufaisha wanachama...
Hili suala alilolikatiza spika la Shs 12 million za kodi ya nyumba ya Spika mstaafu halijakaa sawa. Hii nyumba ni ya nani na uhalali wa kodi yote hiyo inayolipwa umekaa vipi? Isije ikawa ndiyo zile nyumba za umma walizojinunulia kwa bei chee kisha wakaipangishia serikali kulipia pango kubwa...
Ndg Zembemkuu, katika kila ngazi na eneo la maisha hauwezi kuondoa huduma ya Saikolojia. Dr Slaa na wanazuoni wengine wanaweza kuelewa hili. Unaweza kuishia kumtimua mtu ambaye tatizo lake laweza kuisha kwa counselling tu.
Siwezi kukushangaa kwa sababu inategemea unaliangalia suala hili katika...
Malumbano ya hoja yasiyo na uvumilivu na yaliyojikita katika kuenguana hayawezi kukisaidia CDM.
Watakao iua CHADEMA ni wanachadema wenyewe kwa kuwashinikiza viongozi wetu kujenga moyo wa kufukuzana na kusemana hovyo hovyo. Leo utasikia Shibuda, kesho Zitto, baada ya muda Mh Godbless...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.