Search results

  1. Chakwale

    Niuluze chochote kuhusu utapeli

    Mkuu vp kuhusu Utapeli wa Deci,Kalinda na Vikoba huu nao unakuwaje ??
  2. Chakwale

    Nimechoka kujifanya najua, hebu tusaidiane hapa

    Léo tuko hapa Léo tupo hapa Sukari iko nyingi Sukari ipo nyingi Léo TUKO hapa,tutakunywa sana chai kwa vile Sukari IKO nyingi. Léo TUPO hapa,tutalewa tutakavyo Sababu Pesa IPO nyingi. Nadhani IPO na TUPO Ina Sound POA Tumia IPO na TUPO,ukiwa hapa Tanzania Tumia TUPO na IKO ukiwa kwa majirani...
  3. Chakwale

    Je, unaweza kumbadili mtu mzima tabia?

    Ni Kweli kabisa kumbadili tabia MTU Mzima ww binafsi ni Kazi ngumu kabisa Sababu, tabia ya mtu ni mchanganyiko wa tabia mbalimbali alizozipokea tangia akiwa mdogo kwa kufundishwa,kwa kuona,kwa kurithi,na tabia za kimazingira husika ya MTU alikokulia nk. Sasa kwa MTU Mmoja pekee,ambae ww...
  4. Chakwale

    Mjomba tutaua wangapi ndio turidhike?

    Ndege mjanja hunasa Ktk tundu bovu Siku zote
  5. Chakwale

    Baada ya Kichapo, Madeama Wadai Walinyimwa Uwanja wa Mazoezi na Yanga/TFF

    Wamekuja kufanya Mazoezi au kucheza mechi?? Mazoezi kwao huku ni mechi tu
  6. Chakwale

    Ukumbusho kwa Mama Samia kuwa kuendelea kupata Urais 2025 inahitaji akili mbovu.

    Mtaka yote hukosa yote,Biblia inasema huwezi kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati Mmoja,utampenda Mmoja na mwingine hatopata haki yake msingi. Mwishowe akasema ya Caisar apewe Caisar na ya Mungu apewe yaliyo yake.Nuru na Giza huwezi kuwa navyo kwa wakati Mmoja.Chagua kimoja.
  7. Chakwale

    Kweli Vyama vya Upinzani wamelamba asali

    Maslahi yao hao wapinzani yako kwa WanaNchi,kufikiri kutetea maslahi yao pekee bila wanaNchi huo ni ufinyu wa Fikra. Kutetea Maslahi Yao pekee bila kuwasemea wanaNchi kupoteza nguvu Zao bure tu..mana nguvu Yao na maslahi yao vyote viko kwa WanaNchi.So kujitenga na wanaNchi ni kujitenga wao wenyewe.
  8. Chakwale

    Kweli Vyama vya Upinzani wamelamba asali

    Kwakweli naungana na WW kwenye hili,Wapinzani wamekuwa DHAIFU SANA kiasi Cha kuwa na shaka ya Kulambishwa Asali Ili wakae Kimya. Ukimya wao ni kama CCM inafanya KAZI nzuri sana na inatekeleza Na kutatua changamoto za maisha ya watanzania kwa asilimia mia moja.Kumbe ni kinyume chake. Watanzania...
  9. Chakwale

    Kweli Vyama vya Upinzani wamelamba asali

    Kama Mawazo Yao yamefika kikomo na hawana Msaada tena,ndio maana nikasema bora wasiwepo wabaki CCM pekee tujue hakuna wapinzani kuliko kujifariji wapo Ili hali ni wafu
  10. Chakwale

    Kweli Vyama vya Upinzani wamelamba asali

    Nilikuwa siamini Ile kauli ya Vyama vya Upinzani kulambishwa Asali Ili wakae Kimya, lakini kwa namna mambo yanavyoenda naamini kabisa kuwa Wamelamba. Haiwezekani Umeme ukatike hovyo hovyo bila sababu za msingi,yaani wanakata kata tu wanavyojisikia.Mwanzoni walikuwa wanasema Maji yamepungua...
  11. Chakwale

    Jinsi ya kumjengea mwanao tabia ya kupenda kusoma vitabu

    Rahisi tu mbona,hakuna MTU asiependa Fedha,kwa watoto Zawadi..Nunua Kila kitabu atakachomaliza kusoma kwa makubaliano ya pesa fulani or kumpatia Zawadi ambayo unamuahidi kuwa endapo atamaliza kusoma basi utampatia.. Hiyo ni baada ya kukueleza NN alichosoma na ameelewa NN Ktk hicho kitabu,n'a...
  12. Chakwale

    Naanza kuamini tetesi uwanja uliofanyiwa marekebisho umewakataa simba kiroho, ndumba kuu za simba zilifukuliwa na kuchomwa, tutaona mengi sana

    Uchawi upo kwenye NN tu??kama kwenye soka haupo basi hâta kwenye mambo mengine pia haupo.. Reasons zinazotumika kwenye mambo mengine Ili kutumia Uchawi ndio hizo hizo zinazotumika kwenye Soka
  13. Chakwale

    Nisiwe mnafiki, Wydad na Raja casablanca hawastahili kucheza soka la Afrika

    Mamelodi anachukua Ubingwa mark my words
  14. Chakwale

    Panya aliyefungwa kengele kuzivuta sharubu za panya

    Peleka huko Mikwara yako Mbuzi,hii Nchi ni huru inayoongozwa kwa kufuata Katiba Sheria n'a kanuni zake. Haiongozwi kwa kufuata Biblia Wala maagizo yeyote kutoka popote pale duniani.Ina viongozi makini wanaojua NN Cha kufanya na wakati Gani. Hiyo mihemko Yako ya kidini ipeleke huko mnakokutana...
  15. Chakwale

    Ugonjwa wa ajabu unawatesa watoto wenye umri chini ya miaka 10

    Mpe Antibiotique tu atakuwa Sawa, Mwanangu pia ameXeperience hilo tatizo..Ila kabla hujampa Antibiotique mpe dawa za minyoo kwanza kama amepitisha miezi mitatu bila kunywa.
  16. Chakwale

    Mwanamke niliyewahi kumpenda mwanzo akanikataa, ameniambia kwa aina ya ugonjwa anaoumwa sasa yupo tayari kufia mikononi mwangu

    Kuja kuomba tu Ushauri kwa hili inadhihirisha there is something wrong upstairs,huwezi kuwa Okay then ukaja na hoja za kipumbavu kama hii.. Enewei,it's your birthday,you gonna party it!
  17. Chakwale

    Nachanganyikiwa na Wanawake hawa, Nakuwa kama Zoba

    Mm makalio Jamani,yananisababishia ajali nyingi sana barabarani..
  18. Chakwale

    Msimamo wa Mzee Kikwete kuhusu DP World ni upi?

    Hivi kwani Kikwete alikufir@mba au??mbona una ghadhabu nae sana??Nenda ustawi WA jamii or kwenye vyombo vya sheria ukashtaki sio kukaa dukuduku moyoni..maana Kila siku Kikwete hivi Mara Kikwete vile as if Umeachika huku ukiwa unampenda..
Back
Top Bottom