Mipango mizuri, udahili utapanda na chuo kitatanuka, wigo was utoaji was taaluma mbalimbali utaongezeka, wabia watapatikana. Bodi ya wadhamini iendelee kufanya hivi, vinginevyo vyuo binafsi vitakufa kwani ushindani na vyuo vya unma ni mkali see baada ya maboresho tunayoyaona!
NAWASHUKURU SANA TANESCO KWA USIKIVU WENU NA ZAIDI KWA KUSHUGHULIKIA KWA WAKATI CHANGAMOTO ZETU WATEJA WENU HASA ZILE TUNAZOZIAINISHA KUPITIA UKURASA HUU.
WIKI MBILI ZILIZOPITA NILILETA LALAMIKO LANGU LA KUCHELEWESHEWA HUDUMA YA KUUNGANISHIWA UMEME KWA ZAIDI YA MIEZI MINNE(more than 60 working...
Hongera sana mkuu mbavu mbili. Mimi wa:
Malipo yamepokelewa kwenda Tanzania Electric Supply Company Limited
Ankara Na: 991030225197
Kiasi: 515617.52 TZS
Risiti Na: 99003454909
Tarehe: 2018-06-29T17:02:43
Kupitia:EC100204944699
NITASUBIRI SANA!
Naungana na wewe, kwangu pia. Hawa watu bana:
Malipo yamepokelewa kwenda Tanzania Electric Supply Company Limited
Ankara Na: 991030225197
Kiasi: 515617.52 TZS
Risiti Na: 99003454909
Tarehe: 2018-06-29T17:02:43
Kupitia:EC100204944699
Uhaba wa nguzo ndiyo sababu tunayopewa huku Iringa ya kucheleweshewa huduma, nguzo 1 tu, mteja utasubiri zaidi ya miezi 3, yaani zaidi ya siku zao 60 za jazi.Hii ni kutengeneza mazingira ya rushwa.
Kuunganishiwa huduma ya umeme, malipo yalifanyika Juni 2016, mahitaji ni pomoja na nguzo moja. Hivi hadi miezi minne au zaidi ndo nipate huduma? Nipo Iringa manispaa!
Barabara ya Iringa-Ruaha ni moja kati ya barabara muhimu sana kwa ukuaji wa uchumi, zaidi kupitia utalii na imekuwa kikwazo kikubwa sana kwa Ruaha National Park kuingiza fedha za kutosha kwa hadhi yake. Mh. Lukuvi ni Mbunge wa jimbo la Isimani, kwa mtazamo wangu huenda amefanya hivyo kuvuta...
Nia ya serikali ni nzuri sana, pongezi; lakini wizara hii itatumia fedha zaidi ya 100% ya bajeti yake na matokeo yake ni baadhi ya wizara kukosa fedha na huduma nyingi za kijamii kuzorota. Ni bora kwenda taratibu lakini kwa usahihi na siku zote, "polepole ndio mwendo, haraka haraka haina baraka...
Dar port, one of a few ecomonic busters for Tz, not to ignore mining and tourism sectors. The way I see, this Government's main agendas sticks at these "BIG THREE", which is a very important move for Tz economy.
Reli ni bora zaidi kuliko usafirishaji kwa njia ya barabara lakini kwa wenye kampuni za usafirishaji kwa malori wajipange maana miaka mitatu si mbali. Waliokopa sijui watafanyaje kurejesha mikopo maana miziko mingi itaenda kwa reli zetu kuokoa barabara zetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.