Search results

  1. gervasy

    Msaada;kuhusu biashara ya kuuza mchele.

    dada dori.. hyo biashara ya mchele unataka kuuzia hapo hapo moro au nje ya moro.changamoto zake ni mchele wa teja wanataka uwe super kulingana na soko lilivyo na upatikanaji wake. bei nzur sana ya mchele nikuanzia mwez wa 8-3 kwa huku mbeya lakn coz mwz wa nne mchele mpya uwa unaingia kwa huku...
  2. gervasy

    Ugonjwa mpya umeingia Duniani

    majanga mungu tunusulu
  3. gervasy

    Steve Nyerere na Utajiri wa Kutisha

    binafs naona masanja ndyo msanii tajir coz huku mbeya ubaruku anamiliki mashamba ya mpunga hekal kama 100
  4. gervasy

    Steve Nyerere na Utajiri wa Kutisha

    savimbi Jr..na pia masanja kafungua mgahawa tabata unaitwa MASANJA WALl NYAMA
  5. gervasy

    Dunia imeisha! Naiona jinsia ya 3 inakuja kwa Kasu, Eee Mungu tusamehe

    siku hizi wana majina meng wengne wanawaita "kuku wa tamu" daah mungu anakazi ya ziada aiise
  6. gervasy

    Masikini Dr. Slaa, Nyumba yake yapigwa mnada

    hakuna cha tango poli hata mm nimesiki clouds fm
  7. gervasy

    Diamond aonesha ofisi yake mpya, tazama ujifunze kitu

    almas mzambele dizain nachukua ajira hapo kwa mond
  8. gervasy

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    ishiveti..kwan ww upo mkoa gan mkuu
  9. gervasy

    Nilikosea sana nilipomruhusu abadili gia angani, sasa naona dalili kuwa itanitesa

    hii stori kama nimewai iona kwenye gazet za shigongo vile
  10. gervasy

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    fuga kisasa...nguruwe laki 2.5..labda hao nguruwe akuwatunza vizur..lakn ss huku mbeya nguruwe lak 3.5 kama mzuri zaid had lak 5 unauza vizur sana
  11. gervasy

    Shindano la wajasiriamali "Mo Entrepreneurs" lazinduliwa

    nimeiona form ya kuijaza ..mtoa maada dizain kama hili shindano alijamlenga mjasiliamali endapo form inabidi kuijaza kwa kwa English tu.coz siyo wajasiliamali wote wdogo wanajua kingeleza wengne ni wauza mayai wanajua no"yes"..
  12. gervasy

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    sasa mkuu ninavyofaham mm nguruwe ni mualibifu..hcho kidude si ataanza kukivunja vunja.. alafu hili nguruwe akue vizur ni vizur akiwa kwenye banda ambalo chini limechapiwa zege au banda la juu la mabanzi
  13. gervasy

    Ufugaji wa kuku wa kisasa na wakienyeji, ng'ombe wamaziwa na nguruwe

    asante dada yangu...nimeanza kufuga nguruwe nawafugie kijijin nadhan huko ndyo watakua zaidi hali ya hewa ni nzuri na upatkaji wa chakula chake syo ghalama sana kama mjin
  14. gervasy

    Ufugaji wa kuku wa kisasa na wakienyeji, ng'ombe wamaziwa na nguruwe

    nguruwe ukimtunza vizur toka kuzaliwa ni miez mingap anaweza uzwa na vyakula vyake ni vipi kwa mfn
  15. gervasy

    Mume wangu ananinyima unyumba

    kwani kabla ya hapo alikuaje on bed
  16. gervasy

    Machangudoa wa Sinza Mori wezi, Chukua tahadhari

    jamii forums katika ubora ra wake
  17. gervasy

    Mchungaji akutwa akizini na binti wa kaka yake

    binti alikua anambemenda mtoto
Back
Top Bottom