Search results

  1. K

    How To Identify Legit Work At Home Business.

    Asante kamanda kwa uzi huu,wengine ndio umetufungua kwenye hii dunia. Nimeweza kujiregister kwenye NeoBu na Paypal,lakini nashindwa ku link MasterCard yangu na paypal akaunti yangu,tatizo ni credit card verification number,wanasema n 3 to 4 digits,kila nikijaribu kuweka 4 digits za mbele...
  2. K

    hp photosmart

    Do you have catridges for Canon MG 5240 - Catridge no 426.
  3. K

    ukisoma hii utafurahi sana

    Nataka kuwakumbusha jamani kuna kundi ambalo bado halijaamka vizuri na mageuzi haya kundi hili ni lile la kina mama wanaobaki majumbani,kina dada wanaotuuzia vinywaji mida ya jioni (bar maids) mara nyingi nimekuwa nikiuliza swali kichokozi tu kuwa,utapiga kura mwaka huu?Majibu ninayopata ni...
  4. K

    Utata wa ratiba ya kampeni za dr slaa

    Nimeona waraka huo unaosemekana umetoka kwa waislamu,kwa jinsi nilivyoutafakari ukipewa nafasi utatumaliza kabisa watanzania.TUSIUPE NAFASI HATA KIDOGO.
  5. K

    Utata wa ratiba ya kampeni za dr slaa

    Yap,hata mimi nimeliona hilo japo nadhani mikoa hiyo strategically imewalazimu warudi mara mbili,kumbuka jk keshaenda mara mbili na ana mpango wa kurudi huko tena tar 25,kukusaidia website ya chadema jaribu Tovuti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) utawapata live bila zengwe. New Member
Back
Top Bottom