Search results

  1. S

    Car4Sale Karibu uuze au ununue gari na hornet

    Bado ipo sokoni hii?
  2. S

    Car4Sale Magari used Tanzania

    Sh. Ngapi hii
  3. S

    Car4Sale Magari used Tanzania

    Bado ipo?
  4. S

    Car4Sale Magari used Tanzania

    Mil. 7 inawezekana?
  5. S

    Nahitaji mashine ya MaxMalipo

    Million nyingi sana.
  6. S

    Nahitaji mashine ya MaxMalipo

    Wandugu, Nahitaji mashine ya MaxMalipo, naomba msaada wa jinsi ya kuipata. Inaweza kuwa hata imetumika ila iwe kwenye hali nzuri kama mpya. Asanteni.
  7. S

    Nauza Samsung galaxy S5 na gear 2

    chingunduli, bei inapungua. Kama Upo serious tufanye biashara.
  8. S

    Nauza Samsung galaxy S5 na gear 2

    Simu bila gear Sh. 650,000/=. Lakini kuna maelewano, if you are serious.
  9. S

    Nauza Samsung galaxy S5 na gear 2

    liljustine21, gear inakaa na charge zaidi ya siku mbili kwa matumizi ya kawaida.
  10. S

    Nauza Samsung galaxy S5 na gear 2

    Nando, inapungua mkuu. Kama Upo serious ni PM tufanye biashara.
  11. S

    Nauza Samsung galaxy S5 na gear 2

    Gear peke yake utanipa 300K
  12. S

    Nauza Samsung galaxy S5 na gear 2

    wiseboy, simu inafanya kazi na sam mpaka ufanye setting. Unaweza fanya ziwe zinawasiliana au zisiwasiliane. chingunduli, Gear2 inafanya kazi na Note 4 bila shida.
  13. S

    Msaada tutani - MaxMalipo

    Wadau nataka kununua mashine ya MaxMalipo. Naomba yeyote mwenye information ya sehemu zinapopatikana na jinsi ya kuiunganisha na mtandao, tafadhali ani PM. Natanguliza shukrani zangu.
  14. S

    Nauza Samsung galaxy S5 na gear 2

    Gear ni zaidi ya saa. Ina synchronize na simu kupitia bluetooth, inakuletea mawasiliano yote ya simu kwenye saa. Kama sms, emails, Whatsup .... na unaweza kupiga na kupokea simu kupitia hiyo saa.
  15. S

    Nauza Samsung galaxy S5 na gear 2

    Nauza Samsung galaxy S5 na gear 2. Zote ni original , zipo kwenye hali nzuri sana. Zimetumika kwa miezi 5 tu. Starting price kwa zote ni Tsh. 900,000/=.
  16. S

    Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

    Bila huyo mgalatia mnayemtukana kila kukicha waislam wengi wasingesoma. Alitaifisha mashule ya wa missionaries ili na nyinyi mwende shule. Muulize Kikwete, bila shule za wagalatia asingekuwa hapo alipo. Ujue kazi inategemea na elimu yako, na iwe ya darasani sio ya madras. Shida kubwa ya...
  17. S

    Tapeli awaingiza mjini Chief Mareale na Mrisho Mpoto

    Si kama ile inayohukumu kifo ukiamua kuihama.
  18. S

    Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

    Ivi Mungu ana dini? Kama anayo hebu iweke wazi.
  19. S

    Natafuta nakala ya Tamko la Christian Forum - Ijumaa Kuu

    Hili tamko ni la 2013. Lilishapitwa na wakati. Tunataka la 2014.
  20. S

    UKAWA acheni utoto!

    Rasimu ya warioba ina represent matakwa ya watanzania. kinachonishangaza ni CCM kutokubali ukweli. I believe watanzania wanafuatilia na 2015 wataoa madukuduku yao.
Back
Top Bottom