Search results

  1. mtz daima

    Research based ways to remain attractive

    What makes people attractive? And sometimes really, really attractive? Is it make ups? Food? Gym? Hotness is devilishly hard to generalize. A person's mood, cultural upbringing, and ability to get along with someone, for example, add up to radically different ideas about who's sexy and who's...
  2. mtz daima

    Hesabu: Aggrey Mwanri ni waziri anaesubiri kuapishwa

    Salaam kwa wote. Sitaki na wala sitafuti umaarufu kwenye hili na kama itatokea jamaa amekuwa waziri kubali tu kwamba hesabu ilikuwa inambeba na si vinginevyo "numbers don't lie". Kwanza naomba niweke wazi kuwa Sina mashaka na utendaji wa Mwanri "he is a very smart guy" ni mwadilifu ,mchapakazi...
  3. mtz daima

    Huu ni mwaka wa NEEMA kwa mwakala wa vyama

    Umuofia kwenu wateule waJF Kama mnavyojua Wasanii washavuta neema yao Bodaboda washachukua chao Wamiliki wa vyombo vya habari wanaendelea Waandishi wa habari mulemule Makundi mbalimbali ya kijamii vijana, kinamama na wazee pia washavuta Team leaders Watu mashuhuru na wenye ushawishi...
  4. mtz daima

    UKAWA ni adui wa demokrasia Tanzania

    Ukweli ni mchungu lakini lazima tuuseme tu maana hakuna namna nyingine. Demokrasia ya kweli ni ile inayotoa uhuru wa raia kuchagua au kuchaguliwa, ambapo wagombea hupatikana kwa maamuzi ya wengi na siyo wachache. Uamuzi wa kuanzishwa kwa umoja wa katiba ya wananchi umefikiwa na viongozi...
  5. mtz daima

    2015 UEFA Champions League Final 6th June: Berlin

    Good morning ladies and gentlemen! Welcome to a guide towards the UEFA Champions League Final to kick off on 6th June 2015 at Olympiastadion Berlin. In this thread we are going to discuss all the news/proceedings or headlines towards the match. Below is the possible line ups for both teams and...
  6. mtz daima

    UEFA Europa League Final 2015 - Warsaw

    Happening now!! Kwa wale wapenzi wa soka pambano ni kati ya Dnipro vs Sevila na hadi sasa mpira ni mapumziko huku timu zote zikiwa zimefungana 2:2 Karibuni
  7. mtz daima

    Hatma ya Shilole mikononi mwa BASATA

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na burudani nchini limeona picha chafu na zisizo na maadili za Msanii Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole alipokuwa akifanya onesho lake nchini Ubelgiji hivi karibuni. Katika picha hizo ambazo zimelaaniwa na watanzania...
  8. mtz daima

    Philadelphia train crash: search for survivors continues

    Officials are working to determine the cause of a train derailment which killed at least seven people and injured more than 200 others. Seven carriages including the engine of the Amtrak train bound for New York went off the track on Tuesday evening. Over 200 people have been treated in area...
  9. mtz daima

    Utajisikiaje ukikutana na (thread) hapa Jf inayomhusu mpenzi wako?

    Salaam nyingi kwenu wanabodi, Mara nyingi tumeshuhudia threads kuhusu watu mbalimhali maarufu au wasio na umaarufu mkubwa hasa maisha yao kwa upande malove kuchepuka. Mifano ipo mingi ikiwemo ya lulu, shusho nk. Sasa kama unavyojua hili jumba la JF limejaa habari za ukweli kutoka vyanzo vya...
  10. mtz daima

    Hongera Jamii Forums kwa elimu na burudani

    Hodi hodi humu ndani kwa shairi naingi, salamu kwenu wapendwa wakubwa hata wadogo. Nakuomba Maulana bariki waanzilishi, hongera jamii forums kwa elimu burudani. Siku saa zimepita dakika hata sekunde, kusoma nyuzi za wenzangu uzoefu nimepata. Sheria tazingatia wakubwa kuwaheshimu. Hongera jamii...
Back
Top Bottom