Swali langu nihili.
Mnatuahidi mtawashughulikia mafisadi. Mbona hawa ambao wamechota hela za escrow wapo na wanagombea ubunge!
Mbona haohao ndio mliowapa kuwa waandishi wa katiba mpya( chenge)
Mbona mh magufuli ulimnadi Tibaijuka kugombea ubunge huku ukijua amejiudhuru kwa kukutwa napesa kwenye...
Daaaa. Kaka huko kwenu afadhali. Huku kwetu mbeya ndo kichekesho. Siku zakazi yaani jumatatu hadi ijumaa. Umeme unakatika SAA kumi namojaasibuhi hata kunyoosha Nguo zakazini bado. Na unarudi saa tano usiku.
Siku za jumamosi najuma pili. Mchana unakuwepo ila unakatika saambili usiku.
Hapa...
Ili uishi bila stress ni bora kuishi nje ya siasa. Hata mtoto wa miaka saba angeshangaa Leo hii warioba akiwa anamnadi SAMIYA SULUHU. Ni yuleyule aliyemfanya warioba alalamike nje nakuahidi kutembea nchi nzima kueleza kuwa KATIBA yao imechakachuliwa.
Warioba kakutwa nanini jamani. Nape huyu...
Haki ya mtu haipotei, unamambo mawili ya kufanya, kwanza mfungulie kesi ya madai kudai kiasi kile ulichomkopesha, nakwakuwa yeye anajifanya mjanja, hata km alikurudishia mili 1 kama hakumuandikishiana, wewe kadai zote mil 2.
Njia yapili nenda kituo cha polisi kamfungulie kesi ya jinai ya...
Cha kuongezea ni kwamba, lazima ieleweke hapo kuwa kuna maombi mawili yanayotolewa ili kufanikisha kukaza huku. Ombi lakwanza ni LA kukamata Mali zinazokamatika kisheria, Mali zikikamatwa mdaiwa anaweza kuamua kulipa deni ili Mali zake ziachwe, km mda Fulani hope 15 days zikipita, mdai ana nafas...
Ukifuata hayo utakuwa kila siku mahakamani, nanivyema ukaeleza wazi hiko alichosema ili tujue km kina madhara na mashiko kisheria. Kwani mtu anaweza alajisemea tu ku Bibi x akivaa Nguo wala hapendezi, wewe litakuudhi lakini kisheria hilo swala halina mashiko, lakini pia jua kuwa inawezekana...
Kama bint yupo chini ya miaka 18 huko ni kubaka na ikithibitika ni Kuala 30 jela, mtenda kosa umri wake haujalishi km yupo chini ya miaka 18, sheria inatoa msamaha KWA mtenda kosa km atakuwa chini ya more aka 12. Nenda uongee nao tena muyamalize, tofauti nahivyo ikithibitika mahakamani...
Ushauri wangu nenda kaonane na wanasheria phisicslly hilo swala lako linahitaji umakini Sana, nahapo unaweza kuishitaki jospitali km hospitali kwa sababu dokta kaajiliwa na serikali inana nawanasheria km huyo mama kapata madhala kutokana na hiyo pamba
Yaani Ndugu mwanasheria akutafute wewe,! Duuuu!
Akutafute kwa kukushauri au kiaje, kutokana na kanuni za mwanasheria wala hawezi kukutafuta, na kama atatokea wa kukutafuta huyo siye mwanasheria bali ni tapeli.
Hoja yako inamashiko ndugu. Japokuwa katiba inasema kuwa Mara tu jaji ateuliwapo na raisi, raisi mwenyewe tu hawezi kutengua tena uteuzi huo km anavyofanya kwa mawaziri.
Pili unaposema bunge spika wanamteua wenyewe, lakini ukirudi nyuma pia spika lazima awe mbunge, na mbunge huwa anateuliwa na...
Ushahidi chini yakiapo huwa unaaminika mahakamani na shahidi akitoa ushahidi KWA kiapo huwa anawajibika kujibu maswali. Ushahidi bila ya kiapo ni kinyume ya huo hapo wa kiapo.
Kwa faida ya msomaji, kuna makundi mawili tu ambayo yanaweza kutoa ushahidi bila ya kiapo
1. Mtoto chini ya miaka 14...
Tatizo ni woga na haraka ya kutaka kufanikisha KWA njia za panya. Dhamana ni ahadi tu kuwa utampeleka mshitakiwa kituoni siku anapohitajiwa. Na akitoroka ndo utalipa hizo pesa ulizoahidi.
Unaposema utampeleka wapi sijakuelewa. Hiyo ni rushwa sehem husika km unaushahid ni PCCB
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.