Search results

  1. vijujako

    Nataka rafiki moja

    Hodi! Nataka kupata rafiki moja ambaye angependa kuzungumza nami kwenye facebook katika kiswahili. Ningependa kujua zaidi kuhusu tofauti yetu ya jamii na siasa nk., na pia kufanya mazoezi kujifunza kiswahili zaidi. Nitumie PM! Labda unataka kufanya mazoezi kujifunza kiingereza ama hata...
  2. vijujako

    Noti mpya ya Kenya

    Hodi! Kwa mujibu ya katiba mpya picha ya mtu haitakiwi kutumii katika noti mpya wa Kenya. allAfrica.com: Kenya: CBK to Roll-Out New Currency This Week Kwa hiyo, kama designer nimebuni noti haya mpya kwa ajili ya kujifurahisha tu!
  3. vijujako

    Tafadhali nieleze tofauti ya maneno sawa haya ya Kiswahili

    Naona kwamba maneno mengi yana aina mbalimbali kama: Kubadili - kubadilika - kubadilisha - kubadilishana - kubadilishwa Tofauti na maana yao ni nini? Other examples of other words please?
  4. vijujako

    Unajua lugha gani? Nini ni ya kuvutia kuhusu lugha hizi?

    Naweza kuongea Finnish, Norwegian na Kiinrereza, na hivi karibuni nimeanza kusoma Kiswahili. Napenda kiswahili kwa sababu kina pronouns, verbs and their tenses, including their negative forms, ambayo inaungana maneno pamoja kutengeneza neno moja tu. Kama "I_went_home - Nilienda nyubani" na...
  5. vijujako

    Jambo!

    Hello, ninaishi Norway na nimejifunza kiswahili kwa takribani miezi sita. Niko hapa kuboresha kiswahili changu, na kushiriki katika majadiliano ya kuvutia. Nimefurahi kuwa hapa na ninyi! (nasikitika kuhusu makosa yangu ya sarufi)
Back
Top Bottom