Search results

  1. H

    Nimfanyaje huyu dada? Yamenikuta leo asbh

    Kati ya hao wawili yupi umemzimia?
  2. H

    Msaada: Uvimbe wa wanawake kwenye kizazi

    Msongoru kumbe we ni demu!
  3. H

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Ndodi ni msanii kweli.Gharama yake ni kubwa mno hana ubinadamu kabisa. Kupona ni majaliwa. Acha ale za wahindi mswahili hawezi. Kweli anatumia jina la Mungu kujinufaisha.Kuna kipindi alikuwa anajitapa kuwa na magari 8 ya gharam aya m.200 kila moja. Limbukeni tu!
  4. H

    Chama cha Wanasheria wa Tanzania(TLS) ni dhaifu sana ukilinganisha Kenya na Uganda

    Mmmh! unafiki na kujipendekeza kwa watawala hatutaacha. Hiyo ndo nguzo yetu TLS.
  5. H

    Uhusiano kati ya kuibiwa vioo vya gari na eneo la gerezani Kariakoo

    Nani kakwambia nji hii ina polisi. Serikali imewatelekeza wamebaki kujitafutia wenyewe kama kuku wa kienyeji. Wanakula na waharifu. Kazi kupiga watu mabomu hata wale wanaowatetea wapate maslahi mazuri. Nji hii sasa imeharibika kwa kukosa polisi, watu wanajifanyia wanavyotaka tu! si tunaona...
  6. H

    Ungefanyaje kama ni dada yako?

    Dada zetu sometimes wanakuwa malimbukeni kwa kuwashobpkea mastaa.Acha wawadhalilishe.
  7. H

    Stara Thomas!

    Kisha zichanga sana za ubongo wa fleva sasa anatafuta za gospel?
  8. H

    Totozi za Kihabeshi moto

    Za kibongo zinapenda sana vya bure. Zitapendezaje kwa mitumba ya buku ya machinga ya kuning'iniza kwenye henga zenye kutu? ZA KIBONGO WE PIGA KIMBIA ACHIA WENGINE.
  9. H

    Dada anatafuta mchumba msaidieni

    Mmmh! huyu nungaembe. Kibaya chajitembeza. Wanaume adimu weweee! Mbona hujatoa sifa zako?:hand: baaaai.
  10. H

    Nawatakia weekend njema

    Mmmmh Mungu akifurahi anatoa kitu kweli kweli!
  11. H

    Valentine wangu huyu hapa!!

    Huyo mzee hawezi kitu kimerudi kuwa kama cha mtoto.
  12. H

    Saalaaaleeehh

    No comment!!
  13. H

    Kitamu share na wenzio....hii kali

    Hii kiafya sio nzuri kulishana mate aaaaah!!!
  14. H

    Utamtambuaje askari kanzu?

    Katika hii "nji" yetu ni vigumu sana kuwatofautisha askari kanzu na polisi. Ni wale wale. Serikali imewatelekeza wanajitafutia wenyewe kama kuku wa kienyeji. Usombe wkushukie watakung'ang'ania hata kwa dogo tu!
  15. H

    Lukuvi awabwatukia maafisa afya dsm

    He! Lukuvi ni nani vile? Hivi yupo jamani!!
  16. H

    Mtuhumiwa wa EPA (Maregesi) yupo hoi Hospitalini

    Du! KIMICHIO punguza hasira!
  17. H

    Kinachosababisha JK aogopwe

    Akashube uko juu sana. Nimejifunza kuwa we una uchungu na nchi yako pia ni mpenda haki na mzalendo wa kweli. Kuna watu kama X Pasta wasaliti wananufaika na mfumo huu mbovu wa uendeshaji wa nchi na hao hata uwambie vipi hutabadili msimamo wao. Mungu huyu yuko wapi tunamlilia mbona hatusikii...
  18. H

    JWTZ anapolalamikia Serikari ya CCM

    Pole sana mpiganaji wetu. Malalamiko yako hayatofautiani na ya watumisi wengine wa umma na hata askari polisi wanaowalinda wakikoroma usingizini na wake zao. Wanaishi ktk vijumba vya mbavu za mbwa. Lakini bado wanapiga watu mabomu hata wale wanaowatetea. Kulalamika tu hakutoshi. Umma wa wapenda...
  19. H

    Clouds Media wamwandalia Kikwete Birthday 2010?

    We ndo wale wale wakujipendekeza mjaze matumbo yenu wenzenu wafe kwa umasikini.
Back
Top Bottom