Search results

  1. M

    Kutoka Dodoma: Mgana Msindai atangaza kurejea rasmi CCM

    Maisha yasiyogusa maisha ya watu wengine zaidi ya familia yako ni maisha madogo yasiyo na manufaa hapa duniani
  2. M

    Maswali ya msingi kuhusu uraia wa Kinana (katibu wa CCM taifa)

    Acha siasa zako za kijinga za CHADEMA hapa! Kinana ni Mtanzania inatosha! Maana tukiwaambia ni mzaliwa wa Arusha hamchelewi kususa Mkoa wa Arusha na mkakosa makazi maana nyie ni wazee wa kususa!
  3. M

    Kuporwa kwa Milioni 10 za posho za BAVICHA

    Uelewa wako ni mdogo tu kama wana BAVICHA wenzako,lakini ungekuwa na uelewa ungejua kuwa MAFISI yale yalikimbilia CHADEMA baada ya kukosa "mkono"ndani ya CCM.
  4. M

    Kama CCM itamrudisha Kinana, mapungufu ya Mashinji sasa kuonekana dhahiri

    CHADEMA kweli kwa vituko hakuna anayewaweza duniani! Mashinji naye ni kiongozi wa kisiasa wa kulinganishwa na Kinana?! Nyie mlipewa mtu wa kuwasaidia kuandaa migomo ambayo pia ameshindwa!
  5. M

    Kuporwa kwa Milioni 10 za posho za BAVICHA

    Nimeomba taarifa ya ukibaka wa BAVICHA wewe unatoa mapovu mengi ya kunishambulia! Toa taarifa kamili tu-confirm nyie BAVICHA ni vibaka ama la!
  6. M

    Kuporwa kwa Milioni 10 za posho za BAVICHA

    Ndugu wana CHADEMA na BAVICHA yenu tunaomba taarifa za haraka na za uhakika kuhusu kuporwa kwa Milioni 10 za posho katika kikao cha BAVICHA kilichofanyika hivi karibuni Dar es Salaam! Taarifa hii ya kuporwa kwa Milioni 10 za posho BAVICHA kunazua maswali mengi mno! Mfano;Je BAVICHA wako tayari...
  7. M

    CUF: Taarifa kwa vyombo vya habari

    Hadithi hii ni ndefu lakini haina jipya! CUF hamkushiriki Uchaguzi Mkuu 2015 hapo Zanzibar! Dunia na Wazanzibar wanajua kuwa Rais wao ni Dr.Ali Mohamed Shein,harakati zingine ni janja tuu ya Seif Sharrif Hamad kuwapoza Wawakilishi "wanaokufa njaa" baada ya kuwalazimisha kutogombea! Maalim Seif...
  8. M

    Mawaziri wawili wa Rais Magufuli watajwa vyeti bandia

    Mbona watu wengine mna upeo mdogo sana! Hivi mbona kuna watu wanatumia majina ya wazungu wakati si wazungu!Au majina ya kiarabu wakati si waarabu!
  9. M

    Sitta atimuliwa nyumba ya Serikali

    Ni Manzese mtaa ndani ya Masaki! Lakini mnavyokurupuka itawachukua muda kujua kuwa si hii Manzese yenu ya Uswazi Darajani.
  10. M

    Nawashangaa wanaoshangaa Sumaye kuwa mwenyekiti wa kanda Chadema!

    Hakuna lolote! Sumaye na Lowassa wana political frustrations baada ya kukosa Urais ndani ya CCM! CHADEMA haina jipya tena sasa inapitia tu ile njia waliyopitia NCCR Mageuzi na TLP kabla ya vifo vyao! Ndio maana vijana visionary kama JJ Mnyika wako depressed maana hawaoni future ya CHADEMA tena ...
  11. M

    Magufuli ni Rais bora wa pili tangu tupate uhuru

    Wewe hujawahi kupost substance yoyote humu! Comments zako za kijinga muda wote! Eti juzi unasema utumbo eti Rais anapata wapi muda wa kuingia kwenye mitandao ya udaku! Ulimaanisha hata JF ni wa udaku wakati wewe ofisi yako ni JF! Term hii mmepatikana! JPM kawashika,ona Msigwa jana...
  12. M

    Magufuli ni Rais bora wa pili tangu tupate uhuru

    Katika wachangiaji wenye upeo mdogo humu JF huyu Swissme yuko kwenye top3
  13. M

    Wataalam wa Utumishi wa Umma (Civil Service) mko wapi hapa Tanzania?

    Kwa mtazamo wangu naona athari za Mheshimiwa Rais Magufuli kuamini kuwa "Engineer" anaweza kufanya kitu chochote sasa zimeanza kuonekana! Engineer John Kijazi yuko Ikulu kama Katibu Mkuu Kiongozi ambaye ndiye Mkuu wa Utumishi wa Umma (Head of Civil Service). Katika historia ya Nchi yetu ya...
  14. M

    Upinzani wa Kenya vs Upinzani wa Tanzania

    T Tanzania hakuna Upinzani bali kuna "wahemukaji" wa mihemuko! Utamlinganisha Ababu Namwamba na nani hapa?! Jakoyo Midiwo utamlinganisha na nani hapa? Mwanasheria/Mwanasiasa gani utamlinganisha na James Orengo?! Profesa gani Mwanasiasa utamlinganisha na Profesa Peter Anyang'i Nyong'o.Hapa...
  15. M

    Wataalam na Washauri wa Serikali hii ya Mhe.Rais Magufuli wako wapi na wanafanya nini?

    Ndugu zangu Watanzania awali ya yote niwatakie Waislam wote Nchini IDD -MUBARAK. Ndugu zangu Watanzania naomba tutambue kuwa hii Nchi ni yetu sote na hakuna mtu yeyote awaye, kikundi au taasisi inayoweza kusema kuwa hii Nchi ni mali yake...
  16. M

    CHADEMA yapiga marufuku Mameya kuhudhuria mikutano ya viongozi

    Hivi UKAWA hamna strategy zaidi ya hii ya kususia mambo ?! Haijawasaidia na haitakuja kuwasaidia!
  17. M

    Upinzani Tanzania hauna viongozi makini

    Hakuna msoma ni Musoma! Wewe ndo unadhalilisha Musoma!
  18. M

    Upinzani Tanzania hauna viongozi makini

    Tatizo lako wewe ni la Ukosefu wa Ajira na Ubunifu linalowakabili vijana wengi hapa Nchini! Tatizo hili limesababisha hata vibaka,makuli na watu wenye upeo mdogo kama wewe kudhani mnaweza kuwa viongozi,wanasiasa au wachambuzi wa mambo ya kisiasa! Wewe unadhani Bunge linaendeshwa kama klabu ya...
  19. M

    Upinzani Tanzania hauna viongozi makini

    Ukiangalia kwa makini mwenendo wa wabunge wa upinzani (UKAWA) ndani ya bunge utagundua hawana viongozi makini! Mnajua kabisa hamna "threshold" ya kumng'oa Naibu Spika lakini mnakuja na strategy za kitoto kama kumsusia Naibu Spika ,"Shame on you !' and remember running away from the problem is an...
Back
Top Bottom