Familia ya Kiongozi wa Kanisa la Ufunuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima, imeeleza hofu yake kwamba imeshangwazwa na hali ya afya ya kiongozi huyo kubadilika ghafla akiwa mikononi mwa Jeshi la Polisi akihojiwa.Akizungumza na waandishi wa habari jana, katika Hospitali ya TMJ jijini Dar es...
Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye (pichani), amefunguka kuhusu uamuzi wa Umoja wa Vijana wa CCM makao makuu kusitisha shughuli za kumsimika kuwa Kamanda wa Vijana wa Wilaya ya Hanang.
Akizungumza na maelfu ya wakazi wa mji wa Katesh juzi, alisema ni mawazo potofu kufikiri kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.