Search results

  1. S

    Elections 2010 Mbowe atikisa mjini Arusha...

    huu muda mnaoutumia kudanganya watu ndio utakaowacost chadema, hamna kitu kama hicho hapa arusha!
  2. S

    Slaas Best Lies (Ukiondoa za msimu za kampeni)

    wewe si siku zote unasema slaa lazima ashinde? Sasa haya ya kushindwa yanatoka wapi? Ama kweli wengi mtachanganyikiwa
  3. S

    Huyu ni mtu wa kuogopwa kama ukoma

    Ni bahati mbaya sana siku hizi; unaposema au kuandika jambo kama nifanyavyo sasa, haraka kuna wanaokimbilia kutafuta kabati la kukupachika; CCM, CUF, CHADEMA, dini, kabila na mengineyo. ni kweli kabisa hasa usipoweka ushabiki wako kwa CHADEMA utaonekana wewe CCM na Muislam, ni ujinga usio na msingi
  4. S

    Ningependa kuwaona hawa kwenye UONGOZI wa nchi hii hapo baadae

    wana leadership quality? huyo mashauri unamjua wewe? wakati yuko st antony pale mbagala aliyokua anayafanya unayajua? hata alipojiunga UD kusoma PS mwaka 2002, unajua madudu aliyokua anayafanya? unajua kwanini hakugraduate 2005 na kulazimika kukamilisha baadhi ya mambo? unayajua mambo yenyewe...
  5. S

    Elections 2010 Jina la ccm lilimaanisha nini?

    mimi ninavyofahamu hizo CC, zina uhusiano na Catholic na Church, nyerere alikua Genius!
  6. S

    Je rais Kikwete na Dr Slaa ni yupi anafanana na Mwl. Nyerere?

    Hali yetu ya maisha ilikua nafuu kipindi cha nyerere? labda we na babu yako!
  7. S

    Tunamfukuza kazi JK kwa kudhoofisha uchumi ila twamwongezea Mahakama za kadhi na OIC.

    WEWE kama unadhani nchi hii itakuja kuongozwa na padri unakosea sana! mjiandae kwa maumivu tuu
  8. S

    Fatma Maghimbi huyoooooo!

    ccm ni chama cha kila mtu hata slaa ni ccm anasubiri muda wa kurudi tuu!
  9. S

    Elections 2010 Utafiti wa TCIB: Dk. Slaa aongoza

    Mfa maji hakosi kutapatapa! Masikini CHADEMA! wanatia huruma kweli!!
  10. S

    Kampeni/mikutano ya/za Kikwete na wanawake - picha

    kweli wanaendelea kufanya na wake za watu! Hivi kashinda kesi au?
  11. S

    Dr. Slaa: Niko tayari kula mihogo Ikulu

    "Nipo tayari kwenye kula mihogo ikulu". UONGO WA KITOTO HUO
  12. S

    Dr. Slaa: Niko tayari kula mihogo Ikulu

    "Mimi nimeweza kwa sababu nina uwezo wa kulipa zaidi ya Sh4 milioni MOI (Kitengo cha Mifupa cha Hospitali ya Muhimbili) Muhimbili. Je ni Watanzania wangapi wenye uwezo kama wa Dk Slaa," alihoji. Awagiwie sasa huo uwezo wake hao masikini ili awe nao sawa yeye si mpenda usawa? adhihirishe kwa vitendo!
  13. S

    Elections 2010 Askofu Mokiwa akataa rushwa ya Sh11 milioni!

    wewe aliyekuambia hizo habari za askofu ni za kweli ni nani?
  14. S

    MWINYI Was A Visionary Leader

    kwani nyerere alikua na mke? Muulize mama maria atakuambia ukweli
  15. S

    MWINYI Was A Visionary Leader

    chukua tano mkuu
  16. S

    Simwelewi sheikh huyu!

    chukua tano
  17. S

    Simwelewi sheikh huyu!

    Aliwahi kusema kuwa si busara kumchagua Rais ambaye hana ndoa na kwamba akiapa atakuwa anaapa kwa kutumia kitabu gani cha dini maana biblia inakataa uzinzi na Rais huyo akichaguliwa akiwa hana ndoa tafsiri ni hiyo kuwa tutakuwa na rais mzinzi- POINT!!!!
  18. S

    Nani Kamdanganya Rais wetu?

    kama slaa anavyoanguka bafuni kwa kupiga puchu
  19. S

    Nani Kamdanganya Rais wetu?

    slaa nae kwa kubadili wachumba kila siku akipata ngoma mtasemaje kama si kujitakia? Ngono zembe ndio iletayo ngoma rais yupo sahihi
Back
Top Bottom