Search results

  1. H

    Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Kuna dalili kwamba mwaka huu CCM itampitisha mgombea kijana kwenye nafasi ya urais. Vijana kadhaa ndani ya CCM wametangaza nia na wengine wapo mbioni au wameonyesha dalili ya kutaka kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho. Hebu kila mmoja wetu ajaribu kuangalia rekodi za utendaji kazi za hawa...
  2. H

    Ni makosa kuituhumu VIP Engineering

    Ni kazi kubwa na ngumu kuwasiliana na mtu ambaye anaamini anajua kila kitu na ana msimamo kuhusu suala mnalotaka kuwasiliana naye. Aidha, ni vigumu kuwasiliana na kujadiliana na mtu ambaye hana shida na ukweli kwani anao msimamo unaotokana na yale anayoamini yeye. Suala la hoja halipo tena...
  3. H

    Ni makosa kuituhumu VIP Engineering

    Wakati benki ya Standard Chartered inashinikiza kwamba fedha za akaunti ya Escrow ni halali yake, haiyumkiniki pesa hizo zikawa ni zile zile ambazo PAC inadai kwa makosa kwamba ni za Serikali. si sahihi hata kidogo. Aidha, PAC haikusema wazi fedha hizo za Escrow ni mali ya umma kwa misingi...
  4. H

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni

    Lazima tutambue kwamba pamoja na matatizo yote ambayo yamekuwa yakiikabili IPTL, na vilevile pamoja na kwamba mitambo ya IPTL bado haijabadilishwa kutoka kutumia mafuta mazito kwenda kutumia gesi, ukweli ni kwamba IPTL imekuwa inauza Umeme kwa bei ya chini kuliko wazalishaji wengine binafsi hapa...
  5. H

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni

    Hivi Watanzania tunafahamu kwamba Muwekezaji Mzalendo katika ubia wa IPTL, Kampuni ya VIP ya Bw. James Rugemalira, ndiyo walianzisha vita ya kudai haki kwa niaba ya Watanzania dhidi ya wawekezaji wa nje, Mechmar na baadaye Benki ya Standard Charter, baada ya kugundua wamefanya udanganyifu kwenye...
  6. H

    PAC: Maoni, Maswali, Mapendekezo na Ushauri wa yatokanayo na report ya PAC

    MAONI BINAFSI KUHUSU MAPENDEKEZO YA KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) Utangulizi Salaam! Nyote mnafahamu mjadala mkubwa sasa hapa ndani ya nchi yetu ni suala la ESCROW kila kona. Sikuwahi hata siku moja tangu kuibuliwa kwa sakata hilo kutoa maoni kwa namna yoyote ile kwa...
  7. H

    Kikwete na Lowassa kunani tena?

    EL yupo safu ya nyuma na sio mbele alipo Rais.
  8. H

    Ukweli kuhusu Dk.Nderakindo Kessy

    Madaktari feki ni wengi sana nchi hii, akiwemo huyo mama. Inabidi sasa tuanze kuanisha nani ni daktari wa ukweli na nani ni feki, hasa kwa wanasiasa wetu. Mtu anaweza kupata hata cheo kikubwa kwa kuaminiwa kuwa ni daktari wa ukweli kumbe hana lolote. Hii pia inachangia kwenye poor performance...
  9. H

    Ukweli kuhusu Dk.Nderakindo Kessy

    Kuna chizi mwingine nimeona baadhi ya watu wanampigia debe eti awe rais. Nasema kuna siku nchi hii itakuja kutawaliwa na chizi. Wallahi tena!
  10. H

    Ukweli kuhusu Dk.Nderakindo Kessy

    Upo sahihi kuhusu kutumika kwa nguvu nyingi kumuondoa huyo mama Udsm, lakini hakuna zaidi ya ukweli kwamba waligundua hakuwa na PhD! Hilo ndilo lililomuondoa Mlimani, na lilikuja baada ya wanafunzi aliokuwa anawafundisha kulalamika kwamba hawamuelewi. Afadhali abaki kuwa activist kwani hata...
  11. H

    Ukweli kuhusu Dk.Nderakindo Kessy

    Huyo ni chizi asiye na uzalendo. Hata ukimuangalia vizuri machoni utagundua kuna uchizi ndani yake.
  12. H

    Ukweli kuhusu Dk.Nderakindo Kessy

    Kwa nini mtu afikie hatua ya kujipachika udokta badala ya kusoma kwa bidiii ili atunukiwe PhD ya ukweli? hatuwezi kuunga mkono uchakachuaji huu. Ndio maana tunapata matatizo makubwa tunapoenda kimataifa. Unashangaa mtu ni Dk lakini hakuna kitu kichwani.
  13. H

    Ukweli kuhusu Dk.Nderakindo Kessy

    Watanzania wengi ukisema ukweli watakwambia ni uchochezi au majungu. Lakini lazima ifike wakati watu wajitambue. Huwezi kujiingiza kwenye bunge kubwa kama hilo la afrika mashariki wakati huna kitu cha kuchangia. Wanatuaibisha sana hawa watu. Na huu mtindo wa kujipachika udaktari upo Tanzania tu...
  14. H

    Ukweli kuhusu Dk.Nderakindo Kessy

    SOURCE: Guardian
  15. H

    Ukweli kuhusu Dk.Nderakindo Kessy

    Lakini kunataarifa kuwa tangu atoke Marekani hadi leo bado anaishi na dada yake Tegeta,baada ya ndugu zake wengine kugundua kuwa anamatatizo.
  16. H

    Ukweli kuhusu Dk.Nderakindo Kessy

    kwa walio soma Udsm miaka hiyo kama mnamkumbuka vizuri mnaweza changia hapa,ili tupate kumjua vizuri huyu mama.
  17. H

    Ukweli kuhusu Dk.Nderakindo Kessy

    Mbona nasikia baada ya muda fulani wanafunzi waliaanza kulalamika kwasababu matokeo kwenye somo lake yalikuwa mabaya sana,hudi uongozi wa chuo ulipoanza kufuatilia na kugundua kuwa hakuwa na Phd.
  18. H

    Sakata la Shyrose Bhanji na agenda ya Wanyarwanda kumng'oa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki

    Watanzania tusiwe wavivu wa kufikiri na kulitetea taifa letu katika nyakati kama hizi. Mitandao ya Rwanda inaendelea kumshambulia Shy-Rose ili kuwaaminisha watu uzushi huu wa kijinga. Sisi kama Watanzania pia tunapaswa kusimama kidete na kumtetea kwa nguvu zote mbunge wetu. Lazima tutambue...
  19. H

    Nimetembea na ‘house Girl’ wangu na sasa ana mimba

    Kutoa mimba sio sahihi. Kama unajiweza kifedha mpangie chumba mbali na hapo unapoishi huku ukiendelea kulea mimba mpaka huyo mpenzi wako ajifungue na akijaliwa kujifungua salama mlee huyo mtoto. Wengi hufanya hivyo na maisha yanaendelea. Dar ni kubwa sana, sio rahisi kwa mkeo kugundua hilo...
  20. H

    Kumbe James Mbatia ni Civil Engineer?

    Nijuavyo mimi James Mbatia alisoma Civil Engineering Udsm kabla ya kutimuliwa akiwa mwaka wa 3. Kuna chuo fulani Uholanzi kilimpa offer ya kwenda kumalizia degree yake, na nina uhakika alimaliza na kufaulu. Kama mtu amesoma engineering kwa kiwango hicho kwa ni asijiite Engineer?
Back
Top Bottom