Search results

  1. S

    Davutwa anaongea pumba sana, halafu anajiona anajuuaaa!

    Nilipata muda kidogo wa kuwangalia Bw. Davutwa na Mh. Lyatonga kwenye luninga steshion ya ITV wakitema pumba zao. Lyatonga kachoka, alikuwa kama anasinzia huyu tumwache, maana haelewi eliwi hivi. Mh. Davutwa anaongea sana pumba, sitaelezea yote ila kuna pahala nataka nipazungungumzie. Bw...
  2. S

    Hakuna shaka kiongozi aliyechaguliwa na wengi ni chaguo la Mungu. Na tutakiona.

    Habari wana JF.Hakuna shaka kiongozi aliyechaguliwa na wengi ni chaguo la Mungu. Mwenyezi Mungu ametuona tulivyo wezi na ametupa kiongozi/viongozi wezi zaidi yetu. Viongozi wa dini wezi,watumishi wa kawaida wezi, raia wezi, wanasiasa ndo mijizi kabisa. Tusipojiratibu wananchi wenzangu tutapata...
Back
Top Bottom