Search results

  1. R

    Sheria inasamaje kuhusu kulipwa au kudai fidia?

    Je kuna kikomo?(time limit) ya kudai au kulipwa fidia au inawezekana tu kulipwa au kudaiwa kwa muda wowote? Wadau wa sheria msaada Tafadhali.
  2. R

    Kutumbua majipu na future ya Tanzania

    Takribani imepita miezi mi nne tangu awamu ya tano kuingia madarakani na mjadala mkuu inayotikisa kwa sasa ni kile kinachoitwa "kutumbua majibu" wananchi wanashangilia na kuchekelea sana utumbuaji huko, hoja ni kwamba kumng'oa mtu na kumuweka mwingine kwenye taasisi ileile yenye udhaifu mkubwa...
  3. R

    Msaada: Anatokwa na ute wa njano sehemu za uume wake

    Anatokwa na ute wenye rangi kama njano hivi kwenye uume na ute huo hauna tofauti na shahawa. Na hutoka kidogo kidogo Mara kwa mara na wakati wa kukojoa huambatana muwasho na maumivu kiasi. Tatizo litakuwa ni nini. Msaada Tafadhali.
  4. R

    Kwa anayefahamu wenye sifa za kufanya kazi za BVR

    Naomba mnijuze am serious
Back
Top Bottom