Search results

  1. N

    Mwakasege ashangaa wasichana wa Dar kutoolewa

    Ni kweli usemalo, lkn una uhakika gani kama ulivyoelewa ww ndicho alichokuwa akimaanisha mkuu? Ulimuuliza? Mm nadhani hii ni hoja huru kila mtu aliyemsikia Mwl ana uhuru wa kueleza alichoelewa na si kweli kwamba ww uko sahihi kuliko wengine juu ya hili.
  2. N

    Wasichana hamjitambui

    Ni ukweli usiopingika kwamba wanawake lazima wazae, na hawawezi zaa wenyewe lazima wazalishwe! Mbona mm sioni tatizo katika hilo? Wazalishwe jmn ndo amri ya Mungu kuijaza nchi kha!!!
  3. N

    Mchepuko umeninyoa ikulu, umenipiga picha na kumtumia mke wangu

    Mm sikubaliani na hii hadithi. Ina maana huo mchepuko ulikuja na mashine au wembe kabisa wa kunyolea? Ulijuaje kuwa kuna vya kunyoa? Hbr ya Uongo!
  4. N

    Pedi za wanawake wakati wa hedhi

    HQ bei ni tsh 3000@pkt yenye 8 pieces
  5. N

    Kufanya mapenzi kwenye gari ni ashki, ubahili au ujinga?

    Kwani huyo baby si wako mmetoka wote hm na muendako mtakuwa pamoja sasa kuna haja gn ya kusimama barabarani? Ashki majinuni!
  6. N

    Hata kama ningeombwa na Adamu na Hawa, mimi simtaki tena

    Tabia haina dawa dada na kunguru hafugiki hata umjengee banda la grill tupo atatoka tu!
  7. N

    Wanawake wengine ni mumiani

    Mm nakubaliana na hili na pia nakataa! Nakubali kwasababu tu lisemwalo lipo! Na ninakataa kwasababu hizi, Kuna watu wanayapa mapenzi asilimia 80 ya maisha yao ya kila siku na inayobaki ndo ya mambo mengine. Mwisho wa siku unakuta ufanisi wa kazi haupo, utafutaji hela unakuwa mdogo hatimae...
  8. N

    Ni nini sababu ya wanaume kushindwa ndoa zao? "I will divorce tommorow"

    Ndoa zitazidi kuvunjikana wanaume mtaoa ndoaza aina zote zilizopo kama hamtajitambua na kuchukua nafasi zenu mnapooa! Wanawake wamechukua nafasi za wanaume kwenyendoa nyingi sn zinazovunjika sababu kubwa ni hy! Unakuta mwanaume anarudi hm saa sita usiku kalewa balaa, hakuna anachotimiza kama...
  9. N

    Mikoa au Kabila lenye wanawake warembo/wazuri Tanzania

    Kumbe!!! Sikujua, asante kwa kunijuza.
  10. N

    Mikoa au Kabila lenye wanawake warembo/wazuri Tanzania

    Kumbe!!! Sikujua asante kwa kunijuza.
  11. N

    Je kwa nini ndoa za siku hizi hazidumu?

    Tyta hata ww waweza kuwa na majibu au idea! Tueleze unadhani nn tatizo juu ya hili.
  12. N

    Je kwa nini ndoa za siku hizi hazidumu?

    Habari zenu wana MMU! Naomba tusaidiane juu ya hili jmn. Kwann ndoa za siku hizi hazidumu? Ni kukurupuka au ulimbukeni jmn? Ndoa hata mwaka hazimalizi? Naomba wenye productive ideas wakaribie tuwekane sawa juu ya hili. Karibuni.
  13. N

    Mke wangu ana VVU

    Upo sahihi sana! Asante kwa hilo na niliuliza makusudi kutaka kujua logic ya aliyekuwa akiuliza blood group!
  14. N

    Maeneo ambayo mwanaume anatakiwa ajipime kabla ya kuamua kuoa

    Haya yangeweza kutekelezwa kbl ya ndoa, ndoa zingedumu zisingelast for some months kama ziliyo nyingi za siku hizi.
  15. N

    Mke wangu ana VVU

    Kuna uhusiano gn kt ya blood group, rhesus factor na maambukizi ya Vvu? Naomba kueleweshwa.
  16. N

    Imebainika: Mwaka huu wanaume wote wanaolelewa na wanawake lazima waachike

    Hawa watu wataendelea kuwepo kwasababu soko lipo. Wanawake chukueni maamuzi magumu muwaache hawa watu wajitafutie huko! Hakuna aliyekufa kwa kukosa kugegedwa bwana . Waacheni jmn!
  17. N

    Kuna haja ya kuwa maadui baada ya kuachana?

    Sawa kbs nakubaliana nawe mkuu. Ila cha kushangaza ambaye angetakiwa awe hivyo ndiye ambaye yuko peace tu. Alifanyiwa vitendo ambavyo hata shetani akiona au kusikia angekimbia. Bt nilichojifunza amekuwa hivyo baada ya kuona bora maamuzi hayo kuliko hali ilivyokuwa ndo maana yuko peace.
  18. N

    Kuna haja ya kuwa maadui baada ya kuachana?

    Huyo mwenye mume ambaye ni rafiki yng.
Back
Top Bottom