Search results

  1. P

    Kuna nini kati ya Mwigulu na Zitto?

    Mwigulu alishatamka adui wake mkubwa ni Dr Slaa sasa unataka amshambulie nani. Kama ulishafuatilia mijadala yote kwenye tv akiwepo Zito na Mwigulu, lazima Mwigulu hakose hoja.
  2. P

    Pongezi kwa Mh. Nimrodi Mkono Mbunge wa Musoma Vijijini!

    Hauifahamu musoma vijijini hata kidogo ntakuja na uchambuzi ugundue mkono ni mbaguzi hapaswi kuigwa na mtu yeyote ambaye ni kiongozi wa WATANZANIA NASEMA HIVI KWA SABABU MIMI NI MZAWA NA MKAZI WA MUSOMA VIJIJINI.
  3. P

    katika historia ya Bunge la Tanganyika/JMT,je 1975-1994 mbona halikuwa na Spika?

    Alikua ni ADAM SAPI MKWAWA. Ambaye alichaguliwa kwa mara nyingine tena.
  4. P

    Kutofautiana kifikra sio kununuliwa kwa mtu,bali ni mtazamo wake.

    Kumekuwa na wimbi la vijana wenzangu kwenye mitandao ya kijamii hata kwenye mijadala ya kawaida mitaani kuwashambulia wenzao ya kwamba mawazo wanayotoa ni kwa sababu wamenunuliwa na mtu Fulani ili wamtetee, lakini mimi sipendi kuamini hilo na kuwaaminisha wanaonizunguka hivo, ila nachukulia kua...
  5. P

    Zitto asafishiwa njia mbio za urais 2015 na wabunge vijana akiwemo Nasaari na Filikunjombe

    jazen maandish mtandaon wanachadema na vkao vya chama ndo watamtoa mwal c magazeti wala mitandao ya kijamii
  6. P

    Bunge limeshindwa kupitisha Bajeti Kutokana na Uchache wa Wabunge LEO

    bunge hl haltamkomboa mtanzania hata kidogo
  7. P

    Kauli hii ya NAIBU WAZIRI WA MAJI ITAMUMUZI MTANZANIA NA SI WATENDAJI

    Eng Rwenge, ambaye ni Waziri wa maji na umwagiliaji alitoa kauli ambayo iliyonisikitisha hadi nikajioji hivi miradi ya maendeleo ni ya Wananchi au Wakurugenzi wa Halmashauri na idara za maji. Msomi huyu na Mwanasiasa NAIBU WAZIRI ALISEMA, "Kwa...
  8. P

    Tetesi: Kupatikana kwa wauaji

    NI movement for change. hii ni program iliyozinduliwa na CHADEMA Mkoa wa Arusha kipindi cha Kampeni za Arumeru lengo ni kuhakikisha CHADEMA iNAKUWA mkombozi wa kweli kwa Mtanzania kwa kutoa elimu ya uraia na katiba na wenye mambo mengine ya ziada kwenye...
  9. P

    Vedastus Mathayo Manyinyi-mbunge wa Musoma mjini-2015

    :shock:Si jimbo la Musoma mjini tu Mathayo kwa ujenzi wake wa hoja na siasa za Tanzania sasa hana uwezo wa kushinda na ajue kwamba Mjengoni imekuwa historia atafute picha alizopigwa na waandishi wa Habari akiwa Bungeni atunze kama kumbukumbu. Kuna mkutano...
  10. P

    American Elections

    I was watching MNBC TV they were explain that Obama has a highest percentage to win because there is 227 PROVINCE WHICH CAN WIN and Romney has 197 but other province which have remain it will depend on their campaign where Obama has a high percent to...
  11. P

    PICHA; Taswira mahakama kuu leo!!

    HAKUna aliyeshindwa wala aliyeshinda mi naamini mahakama za Rufaa kuliko hizi mahakama ambazo anakaa mtu mmoja wale wengi ndio watanionyesha haki na uwezo wao wa kufikiri bila Bias
  12. P

    Mbunge huyu hatufai

    hATA HII NI KAZI YA KITAIFA HUYU JAMAA AJUE KILA KAZI YA JIMBO NI YA TAIFA WATAKAO NUFAIKA NI WATANZANIA SIO ENEO HILO LEO ATALAZWA HOSPITALINI MTU KUTOKA MKOA MWINGINE
  13. P

    Mei Mosi 2012: JK akasirishwa na utafunaji wa pesa za umma, wahusika kukiona...

    kwa nini uwasemee watanzania baada ya kujisemea mwenyewe sema Raisi UMenikuna sio useme ametukuna watanzania wewe na nan
  14. P

    Kwa dalili hizi, Mnyika kapoteza jimbo la Ubungo

    Judicial deccision is not the feeling of Judge. Judge must deal with material fact and law this wll lead to judicial decision. Kwa hiyo jaji hatoi maamuzi kwa hisia zake kama akifanya hivyo Jaji wa Rufaa hataona hizo hisia za jinsi Mnyika alivyojibu maswali...
  15. P

    Mei Mosi 2012: JK akasirishwa na utafunaji wa pesa za umma, wahusika kukiona...

    Ingekuwa ndo hivyo asingemuamishia aliyekuwa Katibu wa ngeleja kwa mkullo kwa hiyo hayo ni maneno yta kutuliza wenye uchungu na kuliwa kwa pesa zetu wanyonge au wavuja jasho
  16. P

    Baraza la Mawaziri Kutangazwa Leo...Tetesi za Wanaotajwa Sura Mpya...

    KWA MWENDO HUU MWAKA KESHO TENA TUNAVUNJA BARAZA LA MAWAZIRI, Maana yangu ni kwamba ripoti ya mwaka kesho ya CAG itasheheni mambo yale yale kama ndo wale wale wanao ingia. Tutegemee mabadiliko ya majina na sio utendaji.
  17. P

    Hongera Chadema, Hongera Mch.Peter Msigwa Kwa mwanzo mzuri...

    :love:Tusiseme msaada jamani ni kazi aliyo chaguliwa kuifanya kwani wanaotoa msaada tuwaweke mahali tofauti na wanaotekeleza majukumu yao kijamii. Natoa pongezi kubwa sana kwa mchungaji kwa kuonyesha hata upinzania wanafanya makubwa wananchi wasidanganywe kuwa...
  18. P

    Kesho April 26 ni Sikukuu ya Maadhimisho ya Muungano

    Mnamo mwaka 2011 nilikuwa nikisikia kauli za baadhi ya viongozi wakidanganya umma kwamba watanzania tunasherehekea miaka 50 ya uhuru wa Tanzania huu ulikuwa uongo kwan kipindi hicho ndio tulikuwa tunatimiza miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika. Hivyo siku ya kesho tunatimiza miaka 48 ya Tanzania...
  19. P

    Zitto alipuka tena bungeni

    Wewe ndo unalipuka kwa sababu haujui chanzo kwa hiyo angalia jinsi ya kuwa unaweka kichwa cha thread bila kukulupuka
  20. P

    Anne Kilango Malecela awa bubu ghafla

    :smile:SIO YEYE TU ILE KAMBI YA KUPINGA UFISADI YA WAKINA OLE SENDEKA NA LEMBELI Mbona hatuwaoni au hawa sio mafisadi
Back
Top Bottom