Search results

  1. S

    Uchaguzi 2020 Hali ni mbaya, sitisheni Kampeni mkajipange Upya

    Kama CCM wanajitekenya na kucheka wenyewe nyie hapa mtakuwa mnafanyia nini? kwani kampeni za CCM zinawahusu nini nyie kweli?
  2. S

    Uchaguzi 2020 Hadi sasa kimkakati CHADEMA wameizidi CCM

    Hawa jamaa wanafurahisha sana, kwani hawawezi kupiga kampeni kwa kunadi sera zao bila kuihusisha CCM?
  3. S

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

    Shida nini kama wenye malori wamejitolea? nyie unadhani wasanii na wenye malori hawapigi kura?
  4. S

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

    Wasanii mwaka huu hawalipwi chochote, wamejitolea, kumbuka CCM ilitangaza mapema sana uchaguzi huu haitotumia wasanii ili kupunguza gharama, wasanii wamejitolea wenyewe kwa mapenzi yao makubwa kwa chama na JPM.
  5. S

    Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

    Wapum.bavu mtaisoma namba mwaka huu, hakuna rangi hamtaiona, alitumwa kurekebisha pesa na mengineyo ya kampeni, jiiteni Chama Cha Wananchi tu kama Yanga ilivyohiita Timu ya Wananchi wakati ilipikuwa inategemea kutembeza bakuli kwa wananchi kujiendesha. Mlipitishia kwa wale watetezi wenu wa haki...
  6. S

    Uchaguzi 2020 Kutokuwasiliana kwa viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo na CHADEMA kumewapa mwanya CCM kufanya watakavyo

    Media wenyewe wamewakataa, mtaitisha nani atakuja? endeleeni kujifurahisha na hao mamia wanaokuja kushangaa muujiza wenu unaotembea mkijidanganya ni kura.
  7. S

    Tetesi: Ben Saanane kuna biashara gani unafanya na ubalozi wa Sahara Magharibi na Kundi la TASSC?

    Hahaha...nani kamuua? sio kwamba yuko msituni anapigania uhuru wa Sahara Magharibi?
  8. S

    Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. S

    Tetesi: Ben Saanane kuna biashara gani unafanya na ubalozi wa Sahara Magharibi na Kundi la TASSC?

    Hata maandiko matakatifu yanawaasa kutii mamlaka zilizowekwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu, kinyume na hapo utafixwa tu na kuacha wapendwa wakihuzunika na wapambe wakijifariji na kuota ndoto za mchana.
  10. S

    Polisi: Idris Sultan anashikiliwa kwa kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya kimtandao

    Vijana wameamua kutumikia mabwana zao, wacha wapate mshahara wao. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. S

    Hivi ndivyo Katiba ya CHADEMA inavyosema kuhusu Wabunge wake kuchangia chama

    Umetisha sana mkuu, hapo hawachomoki. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. S

    Fatma Karume asimamishwa kufanya kazi za Uwakili Tanzania Bara kwa kosa la kuishambulia ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG)

    Hiyo siyo submission and we don't expect for a senior Lawyer like her kuandika upuuzi Kama huo. Fatuma is the Officer of the Court, her duty is to assist the Court to reach a well reasoned and informed decision, Sasa badala ya kuandika submission na kuargue il aishawishi Mahakama yeye anaanza...
  13. S

    Vikosi vya Usalama wa Taifa mweleweni Mh Rais Magufuli; ona sasa alivyowaumbua leo Mbeya!

    Aliyezikamata akili zenu awahurumie, Sugu mnayemshobokea kila leo mitandaoni kawaonesha ni aina gani ya wapiga kelele watanzania tulonao, "nakupenda sana na nakuunga mkono mheshimiwa Rais, usisikilize maneno ya mitandaoni kweli bila hata kuhama chama tunakupena sana" SUGU.
Back
Top Bottom