Search results

  1. C

    Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    May be naweza kukuoa? I mean, like seriously! Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  2. C

    Nitaiburuza bodi ya mikopo mahakamani

    Now you are shitting, again!
  3. C

    Nitaiburuza bodi ya mikopo mahakamani

    Nasikitikia jukwaa unaloongoza. .. Duniani mambo yamejizingira katika vitu viwili, namely haki na wajibu... Ulikuwa na haki ya kupata mkopo so unawajibika kuulipa.. Katika form ya mkataba ulisoma popote kuwa utafuatwa ili kurudisha mkopo? Kama jirani anakudai na hajakufuata huwezi kupeleka...
  4. C

    Ukweli kuhusu uwepo wa vampire

    Story za vampires ni za kitambo kabla ya sinema.... Na huwezi kuwalaumu Hollywood.... Hawajawahi kuclaim kuwa matukio kwenye movie ni ya kweli... Ndio maana wanaweka categories ikiwamo fiction na documentaries
  5. C

    Kwani kuna tatizo mwanamke mwenye umri mkubwa kuolewa na mwanaume mwenye umri mdogo?

    Love is where you find it pal... Kwani vitandani huwa tunapanda na vyeti vya kuzaliwa?
  6. C

    Ukweli kuhusu uwepo wa vampire

    Another thing Bw. Imma ni kuwa movies are products of authors' imaginations, baasi
  7. C

    Ukweli kuhusu uwepo wa vampire

    Uwepo au kutokuwepo kwa vampires ni suala la imani ya mtu... Ila kama unavyojua wenzetu wazungu nao wamepitia katika stages za maisha ambazo karibia jamii zote zinapitia including the so called "dark era" so kuna wakati walikuwa na imani juu ya uwepo wachawi pamoja na vampires... Kwa upande wa...
  8. C

    Mke wangu amegundua baba yangu alimuua baba yake

    Pole sana..mkeo might be everything lakini hana busara!!!!!finito
  9. C

    Mke wangu amegundua baba yangu alimuua baba yake

    Duh.. Preta..!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  10. C

    Mauzauza ya mke wangu

    kama aliyesema "the way a person writes reflects his personality then kweli kuna tatizo...no one should be quick kujudge kam we ndio una tatizo au mkeo
  11. C

    Nimeachwa tena, sijui tatizo langu ni nini?

    Akili ya haraka haraka inaniambia you are so perfect (not 100% perfect though) kiasi kwamba hao wanaume wanajipima na kuona hawameet standard yako...usibishe, it happens!!!! Mara nyingi huwa likitokea tatizo la mahusiano kuvunjika sababu huwa unaijua...like ni kipi mwenzako hajapenda...
  12. C

    Yamenikuta, vituko vya mke bosi, nifanyeje na kazi naipenda?

    Sometimes you see things in a certain colour because you are wearing spectacles of that colour...you sure you are not letting your imaginations run wild?...kama mjomba mmoja alivyosema...jaribu kutupia neno akikuchomolea ndo utajua ninachomaanisha
  13. C

    Yamenikuta, vituko vya mke bosi, nifanyeje na kazi naipenda?

    Hello nifah, I wonder if the guy took time to answer your question but nevertheless I am here so let it be known that its not Capt Nemo....Know what precious? Once a captain always a Captain..so whenever you see a Nemo without a Caption then it ain't me by a long shot. Anyway..the guy sounds...
  14. C

    Baada ya matusi yote, sasa nimekuwa bosi wake ofisi moja, je nimfukuze kazini?

    sorry??? sorry is what you say to your girlfriend when you "finish" too soon and if you are that good at english then don't say "unlike your country" but say "unlike in your country" when you talk about things done in a country and not the country itself as a subject........talk about...
  15. C

    Baada ya matusi yote, sasa nimekuwa bosi wake ofisi moja, je nimfukuze kazini?

    Bosi bosi bosi!! kama huwezi kujua matumizi ya "h" katika "ila" na "hila" then I am sorry for that office of yours. Na jitahidi ukianza na kauli ya wingi katika sentesi basi follow pattern umalize hivyo hivyo...so next tym sema "wafanyakazi wa vyeo vya chini" Jina la office yako please? Its a...
  16. C

    Baada ya matusi yote, sasa nimekuwa bosi wake ofisi moja, je nimfukuze kazini?

    We kama sikosei ni ndezi...no one gets employed to like you..kama anatimiza majukumu yake wewe utamfire kwa sababu ipi? anyway I got two million-dollar questions: Moja: kwa jinsi ilivyopotray ni kwamba huyo binti alikutukana kwa muda mrefu na kwa hisia kali..wewe unaoma hilo linawezekana...
  17. C

    Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

    Chriss Mauki lazima atakuwa msikilizaji mzuri wa the Greatest preacher of all time - TOMAS DEXTER JAKES
  18. C

    Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    lowassa anaingia CHADEMA kutokea CCM wewe unatoka CHADEMA kuelekea CCM, napata shida kumtambua mwenye mapenzi na chama kwa mtindo huo Ok, lets say Lowassa kaona CCM haimfai kaenda CHADEMA, wewe unaona CHADEMA haikufai tena unakwenda CCM, unamhukumu Lowassa au waliomkaribisha kwa lipi sasa?
Back
Top Bottom