Search results

  1. Mawembasa1979

    Natafuta Bwana/Bi Shamba (Crop Production Specialist) wa kusimamia shamba kwa muda wa miezi 6 kuanzia Oktoba 2021

    Natafuta Crop Production Specialis wa kusimamia shamba langu lililopo Dodoma eneo la Zuzu nje kidogo ya Jiji la Dodoma. Shamba hilo ni jipya (halijawahi kulimwa) litaanza kulimwa kuanzia Oktoba 2021. Kazi ya kusimamia shamba hilo itaanza mwezi Oktoba 2021 na itaendelea kwa muda wa miezi 6...
  2. Mawembasa1979

    Kama Cloutus Chama tunayemwimba kwenye mpira wetu wa Bongo kwenye Timu yake ya Taifa hayupo hata reserve basi Ligi yetu ya Bongo ina walakini

    Juzi kati nilikuwa nasoma majina ya Wachezaji walioitwa kwenye Timu ya Taifa ya Zambia na Kocha Mkuu wa timu hiyo Bw. Micho. Nilistaajabu nilipoona jina la mchezaji na kiungo pendwa wa ligi yetu kutokuwemo kwenye orodha ya wachezaji wa timu hiyo. Pia, kiungo mwingine fundi Larry Bwalya naye...
  3. Mawembasa1979

    Zambia yanyakua Kombe la COSAFA 2019

    Timu ya Taifa ya Zambia leo tarehe 08 Juni, 2019 imenyakua Kombe la COSAFA 2019 baada ya kuinyuka Timu ya Taifa ya Botswana kwa bao moja kwa bila. Bao la washindi liliwekwa kimiani na mshambuliaji hatari wa Timu ya Zambia aitwaye Tapson Kaseba katika dakika ya 78 ya mchezo. Katika mchezo huo...
  4. Mawembasa1979

    Hoja Yangu Leo: Lazima Timu ya Simba ifanye Usajili wa Golikipa

    Ni muda mrefu sasa mimi kama mpenzi na shabiki wa mpira wa miguu ambao ni mchezo namba 1 kupendwa sana duniani na Tanzania ikiwemo, nimekuwa nikifuatilia mechi mbalimbali za mpira wa miguu hapa nchini na duniani kwa ujumla. Hakuna ubishi, Timu ya Simba ina kikosi bora katika msimu huu ingawa kwa...
  5. Mawembasa1979

    Hoja Yangu Leo: Lazima Timu ya Simba ifanye Usajili wa Golikipa

    Ni muda mrefu sasa mimi kama mpenzi na shabiki wa mpira wa miguu ambao ni mchezo namba 1 kupendwa sana duniani na Tanzania ikiwemo, nimekuwa nikifuatilia mechi mbalimbali za mpira wa miguu hapa nchini na duniani kwa ujumla. Hakuna ubishi, Timu ya Simba ina kikosi bora katika msimu huu ingawa kwa...
  6. Mawembasa1979

    Wababe wa Simba kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho wachezea kichapo cha 4-0 kwa AS Vita ya DR CONGO

    Wababe wa Simba kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho leo tarehe 24/10/2018 wamechapwa magoli manne bila majibu. Hadi mapumziko wenyeji AS Vita walikuwa wanaongoza kwa mabao 2-0, mabao yaliyofungwa na E. Ngoyi dakika 6 na 39. Kipindi cha pili Al Masry walijitahidi kuweza kusawazisha mabao hayo...
  7. Mawembasa1979

    Mwinyi Zahera: Kocha mwenye Saikolojia ya hali ya juu kwa Wachezaji wake

    Mwinyi Zahera ambaye ni Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga kwa kweli anaijua sana Saikolojia ya Wachezaji. Ikumbukwe kuwa, mara alipopata nafasi ya kazi ya Ukocha Mkuu kwenye Klabu ya Yanga, Klabu ilikuwa na matatizo lukuki hasa ya kiuchumi. Lakini kwa kutambua hilo Kocha Zahera alijitahidi kwendana...
  8. Mawembasa1979

    Kombe la Mapinduzi 04/01/2016 : Yanga 2-0 Zimamoto (Full-time)

    Timu ya wananchi inaongoza goli 2-0 mpira ni mapumziko.
  9. Mawembasa1979

    Suala la Dangote: Mawaziri wameshindwa kumsaidia Rais

    Nimefuatilia Kwa makini sakata la kiwanda cha simenti cha Dangote nimegundua Mawaziri wameshindwa kumsaidia Rais. Namhurumia sana Rais wetu mpendwa anavyocheza namba zote 11 uwanjani. Yaani kila waziri alikuwa anasema vyake na kwa ujumla walikuwa hawaeleweki wanachoeleza. Mh. Rais amefanya...
Back
Top Bottom