Search results

  1. C

    Nyumba inauzwa Tabata Kimanga, Milioni 32

    Nyumba ipo Tabata kituo Chama ina vyumba 3 kimoja ni masta, sebule, sehem ya kulia chakula na choo cha ndani. umeme upo ndani ila baadhi finishing hazijaisha. Mawasiliano na picha whatsapp piga 0786 360 818. karibuni sana na maonge yapo.
  2. C

    Viwanja vinauzwa, vipo Majohe (Chanika) Ml. 5 tu

    Viwanja vipo Buyuni kata ya Majohe sehemu inaitwa Nyebulu. vinaukubwa wa mita 15-15 unaweza kuviunganisha ukapita ukubwa mzuri na umbali toka barabara kubwa ni kilomita 1 na nusu. Vimepangwa vizuri kwa barabara za mitaa. Bei ni ml.5 tu. Piga simu no 0655 360 818
  3. C

    Gari inahitajika fasta mil.6 ipo

    Gari inahitajika Mark II grand namb C iwe na hali nzuri cause itakua inasafiri mbali, kama ipo tuma picha kwa whatsapp number 0786 360 818 au piga simu.
  4. C

    Nyumba inauzwa Mil. 32 ipo Tabata

    Habari wana Jamii Forums. Kuna nyumba inauzwa ipo Tabata Kimanga kituo ni chama. Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja ni Masta, sebule kubwa, dining na choo cha ndani na ina eneo kubwa kiasi ila bahati mbaya gari haifiki. Mawasiliano piga 0655 360 818 mazungumzo yapo. karibuni sana.
Back
Top Bottom