Search results

  1. Cataliyya

    Mapenzi haya kero nishaurini

    Yaani ni zee moja hivi halina aibu limejibanza ofisini moja hivi ya shirika la dini baada ya kustaaf TRA
  2. Cataliyya

    Mapenzi haya kero nishaurini

    Nachotaka tukiwa kazini mapenzi tuweke kando tufanye kazi kwa amani sasa hatua ya mpaka kutoagana
  3. Cataliyya

    Mapenzi haya kero nishaurini

    Habari wapendwa, Mimi (miaka 32) nimetokea kua na mahusiano na mbaba mmoja hivi hapa ofisini (yupo kwenye miaka 65 hivi) pia hua ananipaga vijisent vya matumizi. Sasa hapa ofisini kuna mdada huwa anajipitisha pitisha kwa huyu mbaba pia naona wapo karibu. Sasa Jana kama kawaida yetu akataka...
  4. Cataliyya

    Natafuta dawa za asili za kutibu wasiwasi

    Mh konyagi ikiisha si unarudi palepale mkuu?
  5. Cataliyya

    Natafuta msaada ustawi wa jamii

    Ok asante bt si mpaka jumatatu mkuu
  6. Cataliyya

    Natafuta msaada ustawi wa jamii

    Wilaya ya kinondoni
  7. Cataliyya

    Natafuta msaada ustawi wa jamii

    Habari wana jamii forum, nimepatwa na tatizo la kifamilia na ni urgent naitaji ushauri, mwenye kujua mawasiliano au mtu yeyote wa ustawi wa jamii naomba unipm tafadhali
  8. Cataliyya

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Nashukuru kwa maoni yenu. Vitu ntanunua soko kuu ntadamka, ntajitahidi kuweka viungo mfano binzari,nazi, ntazingatia usafi, uchangamfu, customer care msijali dada yupo vizuri kwenye hilo anafaham vizuri haya mambo, ntafanya projection kujua sahani zinazotoka ktk kila kilo, mimi ntakuepo jumamosi...
  9. Cataliyya

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    ULIANGUKIA PUA coz hukuwa makini, huyo dada ni mwaminifu ntamwachia kila kitu afanye yeye na bila yeye hamna biashara hapo, namfaham vizuri
  10. Cataliyya

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Sawa shangazi yako alikua na biashara yake akafilisika but ulitakiwa uone shangazi yako kama akimfanyia mtu biashara anaifanyaje, sio ya kwake
  11. Cataliyya

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Afungue mara ngapi? unafikiri ni wa njaa huyo? alishakuaga na biashara yake
  12. Cataliyya

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Wacheni roho ya kwanini humu ndani, mbona wengi mmeganda hapo? Hamna ushauri mwingine wa kuboresha? "KAA MWENYEWE" dada wa watu amejiaminisha na ni mwaminifu wacha afanye kazi aniingizie pesa namjua ameshafanya kazi before na kuingiza pesa so hilo niachieni mimi. Kwa kifupi kuhusu usimamizi...
  13. Cataliyya

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Asante dada yangu huo ndio ushauri
  14. Cataliyya

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Sijawahi ila nna idea nayo najua vitu muhimu vya kuzingatia but huyo dada ana utaalamu. Mimi sioni ndani, kama sio yeye hamna biashara hapo.
Back
Top Bottom