Search results

  1. K

    Katiba mpya na uvivu wetu wa kufikiri

    Watu tumekuwa busy na katiba mpya,hilo ni zuri sana lakini tumekuwa busy na kipengere saana kimoja cha muungano na nahisi hata warioba nae akili yake iko busy kutoka siku anateuliwa mpaka leo busy na jambo la muungano kwamba tuwe na serikali 3. Ukitazama vyama vingine vya siasa kama chadema wao...
  2. K

    Luhaga mpina-wabunge kati ya wabunge wachache waliothubutu kusema haya hadharani

    WADAU NAOMBA NIANZE KUTOA MTILILIKO WA MICHANGO YA MBUNGE WA KISESA BW.LUHAGA J.MPINA HAPA UWANJANI NIKIWA NA MAANA YA KUKUPA MWANYA NA NAFASI WEWE KUWEZA KUMLINGANISHA MPINA NA MBUNGE YOYOTE AMA KWA MAUDHUI YA MCHANGO WAKE KWA TAIFA NA WAPIGA KURA WAKE HII YOTE KUWEZA KUWAELEWA ZAIDI...
  3. K

    Ufisadi uliokithiri na alichokisema mbunge wa CCM Luhaga Mpina juu ya ufisadi wa kutisha serikalini

    MAELEZO BINAFSI JUU YA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI. Kwa mujibu wa kifungu cha 28(8), naomba kutoa maelezo binafsi juu ya matumizi ya kawaida ya serikali kuwa makubwa kuliko mapato ya ndani na hivyo kupelekea deni la Taifa kuongezeka. Mheshimiwa Spika, wakati wa kipindi cha maswali na majibu...
Back
Top Bottom