Search results

  1. M

    January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo

    Umerukia mada, nilikuwa namjibu msambaa mwenzangu mmoja ameniandikia kwa kisambaa kuniambia kwanini nampiga vita msambaa mwenzangu asiwe rais na mimi nikamjibu ukiwa na Rais kilaza msambaa atasababisha hasara ambayo itawaumiza na wasambaa pia
  2. M

    January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo

    Ningependa sana Msambaa mwenzangu awe Rais wa Tanzania anaweza kutunyanyua Wagosi lakini nataka mtu mwadilifu maana hata Rais akiwa Msambaa lakini bogus sisi na nchi nzima hatutanufaika. Kwani udhaifu wa JK haujawaumiza Wakwere? Muulize mkwere yeyote kama kuna manufaa yeyote aliyoyapata kwa JK...
  3. M

    January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo

    Na hicho ndicho kilichotokea yeye alifutiwa matokeo peke yake baada ya kuingia na majibu kwenye mtihani lakini akayasahau kwenye script yake
  4. M

    January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo

    Ni nani mwenye taarifa zaidi kuliko aliyesoma nae? Nafurahi Mod ameunganisha na uzi wa siku nyingi kumbe kuna mtu anaitwa Ibange nae ametoa tuhuma zinazofanana
  5. M

    January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo

    Njia ya mwongo ni fupi. Huyo mwalimu aliyehusishwa na wizi wa mitihani anaitwa nani? Je, kuna mwalimu wa Galanos kipindi hicho aliyewahi kuchukuliwa hatua kwa wizi wa mitihani? Namshauri Mh Makamba akiri ili sisi mate wake wa darasa tumwelewe. Akiendelea kudanganya tutaendelea kumwandama na...
  6. M

    January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo

    Kama utetezi wake ni wa kweli na baba yake alikuwa Mkuu wa Mkoa kwanini hakukata rufaa? Record zake zipo baraza la mtihani kuhusu sababu za kufutiwa matokeo
  7. M

    January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo

    Tabia za watu zinaanza wakati wakiwa wadogo.
  8. M

    January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo

    Tumeambiwa kashfa ya Mwigulu kudanganya umri lakini kashfa ya Makamba ni kali zaidi. Mimi ni mgosi wa Lushoto mjini nafanya kazi za kilimo. Nilisoma darasa moja na Mh Makamba pale Galanos Secondary School. Tulivyokaribia kufanya mtihani wa kidato cha nne wenzetu watoto wa vigogo walipata paper...
Back
Top Bottom