Search results

  1. QUALITY

    Tamko la CHADEMA mkoa wa Geita kuhusu Zitto kuvuliwa uongozi

    Msajili wa vyama vya siasa alijibuje hoja ya ukaguzi wa vyama? Alisema vyama havina kosa mwenye makosa ni CAG maana vyama viko tayari CAG hayuko tayari... Always read between lines"
  2. QUALITY

    Tamko la CHADEMA mkoa wa Geita kuhusu Zitto kuvuliwa uongozi

    Geita hatujatoa waraka huo
  3. QUALITY

    Wito wa Maandamano: Unyama wa Kapuya na Sheria

    Polisi ya CCM itatoa kibari?
  4. QUALITY

    Jumuiya afrika mashariki: Tanzania inastahili kutengwa

    Kama bila Tz hakuna jumuia, kwanini tunalalamika? Maana tukae kimya tuone itakuwaje maana Bila sisi (watz) hakuna jumuia.
  5. QUALITY

    Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

    Waliojaribu kukiua CHADEMA siyo mmoja wala wawili. Wale waliokuwa wameset deadline ya kuhakikisha CDm imekufa kabla ya 2013, wameona imeshindikana sasa wamesogeza mbele 2014. Japo katika kipindi hiki 2010 hadi sasa 2013 wamejaribu sana. Ukanda (ukashindwa) Udini (Ukashindwa) Ugaidi na tindikali...
  6. QUALITY

    Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

    Pole Mzee. Ufahamu wako utakapokuwa umerudi katika hali ya kawaida, tutawasiliana. Kwa sasa endelea kutupa miguu. Kumbuka kuwa hakuna umaskini unaozidi ule wa mawazo. Pole sana...
  7. QUALITY

    Wito kwa wana CHADEMA wote!

    Uchozi mtupu. Kama Zitto ndo anatafuta uenyekiti ili atoe fadhira kwa CCM mwaka 2015 hapo amekwama. Mwaka 2015 chama kilikuwa kimefikia karibia kila mkoa na kilikuwa na viongozi wa kuteuliwa ngazi ya mkoa kwa asilimia 75. Leo tunaelekea kupata viongozi wa kuchanguliwa nchi nzima kuanzia tawi...
  8. QUALITY

    Bomu lilirushwa likaangukia hapa

    Waheshimiwa watanzania wenzaangu. ni siku nyingi sijafika hapa jamvini kuweka taarifa mbalimbali. Lakini muda si mrefu, nitapatikana zaidi hii ni kwa sababu nilipata safari iliyonikeep busy bila access. Nimesikitishwa na matukio ya serikali ya CCM ya kuendeleza mauaji nchini. Hivi kweli hii...
  9. QUALITY

    Serikali ya Che Che Me inahusika na vifo vya watoto wachanga Ngara

    Serikali ya Chama cha mapinduzi (Che Che Me) inahusika kwa kiasi kikubwa na vifo vya watoto wachanga na wengine wanaopata ulemavu unaotokana na magonjwa yanayozuilika kama kupooza na kifua kikuu. Uchunguzi nilioufanya mimi binafsi katika wilaya ya Ngara (jana na leo) kati ya vituo vya afya...
  10. QUALITY

    Swali: Jimbo la Mbalali, Hakuna CHADEMA?

    Nadhani dawa yake imefika kupitia kuanzishwa kwa kanda. Mimi sina wasiwasi ikwa sasa. viongozi wakiendekeza uzembe mwisho wao ni mwaka huu wakati wa uchaguzi wetu wa ndani.
  11. QUALITY

    Swali: Jimbo la Mbalali, Hakuna CHADEMA?

    Ni kweli kanda zimezinduliwa na juzi tumezindua ya kwetu hapo Kibaha. Pia nakubali kuwa CDM ipo nchi nzima (Generally) Je katika Mbalali tunao makamanda ambao wanatarajia kugombea 2015? kama wapo, ningeomba tuwasiliane ili kuona namna. email yangu ni... quality.chality0@gmail.com. Mungi, niko...
  12. QUALITY

    Swali: Jimbo la Mbalali, Hakuna CHADEMA?

    Wana JF, Salamu. Ni jana tu nilipata fursa ya kuongea na vijana wawili kutoka Mbalali, mkoani Mbeya na kunielezaa kuwa huko kuna CCM tu na hakuna chama kingine chenye nguvu. Mimi nikataka ushahidi lakini hawakuwa nao. hata hivyo niliichukua kama point nikataka kujua kwa wana JF mnaoifahamu...
  13. QUALITY

    Sakata la Lwakatare na sababu 2 za uthibitisho wa Mtonyaji Serikalini kuihujumu CHADEMA

    Che Che Me, haitafanikiwa. Actually kitakachoingoa Che Che Me siyo nguvu ya CHADEMA ni nguvu ya wananchi. Umma umeishaikataa Che Che Me; hatawafanye vipi, mwisho wao umefika. Quality
  14. QUALITY

    Ngara: Polisi wavamia kijiji usiku wa manane na kuondoka na mmoja

    Polisi wilayani Ngara wamevamia kijiji cha Mgoma, kata ya Mgoma na mkamata ndugu Peter Safari wa Kijiji cha Mgoma, kata ya Mgoma saa 8 za usiku wa kuamkia leo na kuondoka naye kusikojulikana. Wakati huo huo, walifika nyumbani kwa William Marco, ambaye walikuta hayupo nyumbani kwake usiku huo...
  15. QUALITY

    'Masalia' wa CHADEMA wako hoi kisiasa!!

    kuwa mgeni haikufanyi usifuatilie taarifa zilizotangulia. bofya hapa zito akijibu hoja zenu.. Mahojiano ya Moja kwa Moja Kati ya Zitto Kabwe na JamiiForums (JF) | Blogs Tanzania | News | Michuzi ya Habari leo Mungu akusaidie kuelewa quality
  16. QUALITY

    'Masalia' wa CHADEMA wako hoi kisiasa!!

    Umetumwa wewe. Chadema ni moja. hata zito mambo mengi mnayosema yeye mwenyeewe hayumo. rejea mahojiano yake na JF
  17. QUALITY

    Polisi wawili wauawa kwa mapanga na wananchi wenye hasira Ngara; kituo cha polisi chachomwa moto!

    watu watatu wamefariki katika mapigano yaliyotokea jana jumamosi (15/12/2012) katika kata ya mgoma (mpakani na Burundi) kwenye kituo cha Polisi mgoma. Tukio hilo lilianza kwa trafiki polisi kukamata pikipiki iliyokuwa kwa fundi ikitengenezwa. Trafik alipoikamata pikipiki hiyo, fundi...
  18. QUALITY

    Hamad Rashid abwagwa kortini

    Nadhani Hamadi Rashid hahitaji kujiunga na chama kingine maana ana chama kingine tayari ambacho ameishakisajiri, ni mlezi wa chama cha ADC. Mmesahau? Quality
  19. QUALITY

    PICHA: Harakati za CHADEMA huko Karagwe, Kagera

    Tuko pamoja People's Power
Back
Top Bottom