Search results

  1. A

    UDSM waagizwa kufuta matokeo Uchaguzi wa Rais mpya DARUSO

    Taarifa zilizopo kwa watumishi mbalimbali wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na wanafunzi wa chuo hicho ni kuwa limetolewa "agizo kutoka juu" kuwa matokeo ya uchaguzi wa rais wa serikali ya wanafunzi yafutwe kwasababu mgombea aliyeshinda "ni mtu hatari" Katika kutekeleza jambo hilo, tayari zoezi...
  2. A

    Dk. Magufuli ashauriane kwanza na mama Janeth kabla ya kuanza kuinadi ilani ya CCM

    Ikiwa imesalia wiki moja kabla ya wagombea wa vyama vya siasa kuanza kunadi ahadi binafsi, sera za vyama vyao na ilani za uchaguzi za vyama vyao tayari suala la kila mwalimu Tanzania kununuliwa kompyuta mpakato(laptop) lililomo kwenye ilani ya chama cha mapinduzi limeanza kugonga vichwa vya...
  3. A

    Hongera vijana wa CHASO UDSM kwa kusaidia kutolewa kwa fedha za boom

    Jumatatu ya wiki hii inayomalizika Rais wa Daruso Kitaponda Ahadi alitangaza kuwepo kwa utaratibu wa utawala wa Chuo kikuu cha UDSM kuwakopesha wanafunzi wote 6100 ambao walikuwa hawajapata fedha zao za kujikimu. Utaratibu uliotangazwa na Rais huyo wa Daruso ilikuwa ni kwamba wanafunzi hao...
Back
Top Bottom