Taarifa zilizopo kwa watumishi mbalimbali wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na wanafunzi wa chuo hicho ni kuwa limetolewa "agizo kutoka juu" kuwa matokeo ya uchaguzi wa rais wa serikali ya wanafunzi yafutwe kwasababu mgombea aliyeshinda "ni mtu hatari"
Katika kutekeleza jambo hilo, tayari zoezi...
Mradi huo wa ujenzi wa bandari ya
Bagamoyo utakaokuwa wa aina yake
Afrika Mashariki na Kati, unatarajiwa
kugharimu dola za Marekani bilioni 10.
Afrika Mashariki Na Kati...Kuna Bandari gani Afrika ya Kati?
lowassa ana likes zaidi ya laki 4 na akaunti yake imeshakuwa verified. Wewe ni zumbukuku kweli
ingia hapa uone https://www.facebook.com/EdwardLowassaTZ?fref=ts
Ikiwa imesalia wiki moja kabla ya wagombea wa vyama vya siasa kuanza kunadi ahadi binafsi, sera za vyama vyao na ilani za uchaguzi za vyama vyao tayari suala la kila mwalimu Tanzania kununuliwa kompyuta mpakato(laptop) lililomo kwenye ilani ya chama cha mapinduzi limeanza kugonga vichwa vya...
Humprey Polepole naye amefikiri pole pole sana(slow thinker).
Unaposema msingi wako ni katiba halafu ukatangaza kuwa unawapinga wale wenye msimamo sawa na wako kwa kuwa tu kuna mtu ambaye (zamani) alikuwa na msimamo kinyume na nyie ameingia ni kukosa Logic.
Magufuli na Lowassa wote...
Jumatatu ya wiki hii inayomalizika Rais wa Daruso Kitaponda Ahadi alitangaza kuwepo kwa utaratibu wa utawala wa Chuo kikuu cha UDSM kuwakopesha wanafunzi wote 6100 ambao walikuwa hawajapata fedha zao za kujikimu.
Utaratibu uliotangazwa na Rais huyo wa Daruso ilikuwa ni kwamba wanafunzi hao...
Tatizo unaongea kwa hisia na imani za kidini kuliko akili. Na pia unasahau kuwa Israel haiamini katika Mungu namna moja na ninyi wakristo. Unahitaji akili timanu tu kulifahamu hili. Wala sio ufunuo wa roho mtakatifu wala macho ya rohoni.
Nitashukuru kama utaipumzisha akili yako hadi hapo kesho. Haujibu kilichoandikwa bali hisia zako.
Sijasema kuwa serikali haikuleta usumbufu kabisa, ila aina ya usumbufu ulikuwa tofauti, mfano kushindwa kusimamia au kutimiza baadhi ya ahadi za kampeni nk. lakini sio kushitaki wanafunzi kwa...
Nilitii kweli kabisa, hili halina shaka. Lakini hakukuwa na ufedhuli wa serikali ya wanafunzi dhidi ya wanafunzi.
Nakushangaa unaweka picha ya kijana aliyepoteza tumaini na kuonekana kama unashangilia
nina imani lengo lako la kujibu hivi ni kuwa unataka nikuhakikishie kuwa kwa taarifa nilizopata ni kuwa huu unakaribia mwezi sasa Mashauri hayupo chuo, na alikuwa ni mwenyekiti wa Judicial Organ. No research, no nonsense
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.